Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

Tatizo wengi wetu akili zetu ni za kushikiwa. Tukiangalia TV na kuona watu wa aina fulani ndio wanaotumika sana kwenye matangazo tunataka tujifananishe nao. Tukiangali mtu maarufu yupo kinamna Fulani tunataka tuwe kama yeye. Tukimwangalia Mama Mchungaji tunataka tuwe kama yeye. UKOMBOZI wa fikra ni jambo la msingi katika jamii ili jamii ifikie maendeleo ya kweli.
 
hizi ni dalili za kujikataa au kukataliwa ni maumivu ya ndani (utu wake wa ndani)
1. roho ya kukataliwa na kujikataa
watu wengi wenye maumivu ya ndani kutokana na kujikataa au kukataliwa huwa.
Hii ni hali ya kujiona hapendwi na hakubaliki mfano kama mtoto akiwa shule dawati analokaa wengine wote wanahama au kama yupo ofisini anaweza kuchukiwa bila sababu na wakati mwingine kusingiziwa jambo ambalo hakulifanya na hii inaweza kumletea madhara hata ya kufukuzwa kazi.
Hali hii ikiendelea mtu huweza kufikia hatua ya kujikataa yeye mwenyewe na hali huwa mbaya zaidi. Kwani huweza kusababisha hata huyu mtu kujiua asiposaidiwa.

· huwa awaangalii mambo mazuri
· wengi wanaangaika na pombe na mambo ya dunia
· huwa wanaamini kwa kushughulika na mambo ya dunia wanatibu madhaifu yao
· huwa wana tabia chafu
o uzinzi
o hasira
o utumiaji wa madawa ya kulevya
o hasira
o n.k
· katika ubatili wa nia zao , akili yao imetiwa giza
· wengi tumekata tamaa
· nafsi imetiwa ganzi na mwisho mtu huwa anakufa
· hutawaliwa na roho ya kulalamika
· analalamika kwa kuwa amekataliwa
· kutoka 17:3
· Mtu aliyekataliwa hawezi kuwa na maamuzi
· Mtu mwenye roho ya kukataliwa au kujikataa hawezi kuuona ufalme wa MUNGU
tatizo hili halianzii juju tu katika ulimwengu wa roho

lina vyanzo saba
I. Mti wa ukoo
II. Kutungwa mimba
III. Miezi tisa tumboni mwa mama
IV. Siku ya kuzaliwa
V. Utoto wangu mpaka miaka saba
VI. Miaka saba mpaka kubarehe/kuvunja ungo
VII. Kuvunja ungo/kubarehe mpaka maisha ya sasa ya utu uzima.

mkuu asante kwa kuremind seminar yetu ya canaan. ni somo zuri kwa ambao hawakuwepo.
 
ubariwe sana mtumishi wa Mungu......
 
hujawahi kuona mwanamke amezaa watoto lakini hana hizo kitambi?

michelle obama ana watoto wawili lakini mbona hana kitambi? au yeye mimba yake haikutanua tumbo lake?

Yes! nasema ni kujiendekeza na life style yetu ya maisha ndiyo inatupelekea hivyo.............

hapa hapa bongo kuna wadada ukikutana naye ukaambiwa ameshazaa huwezi kuamini na kuna wengine unakutana naye inakubidi uulize kama ameshazaa kumbe hata hajazaa...........

nakuhakikishia sehemu kubwa ya kasoro zetu katika miili yetu ambayo hatuikubalia au wenzi wetu hawayakubali ni ya kujitakia wenyewe.........

haa nimekupendaje bure....,it all begins with YOU........

Mie naupenda mwili wangu aisee na napenda kuwa stable,I began to prioritize exercise because I realized that my happiness is tied to how I feel about myself.

halafu jamani kuzaa isiwe sababu ya kuachia mwili wako,mwingine akishazaa ndo anajiachia weeee heei

ila kama unapenda kuwa hivyo again its all about you...,
 
yani nimefurashwa nawe unaposema kuwa unaujali mwili wako all the best mdada
haa nimekupendaje bure....,it all begins with YOU........

Mie naupenda mwili wangu aisee na napenda kuwa stable,I began to prioritize exercise because I realized that my happiness is tied to how I feel about myself.

halafu jamani kuzaa isiwe sababu ya kuachia mwili wako,mwingine akishazaa ndo anajiachia weeee heei

ila kama unapenda kuwa hivyo again its all about you...,
 
kwa Africa ni ngumu kujikubali hata kama una nia ya dhati, manake hizo external pressures ndo zinafanya watu wajisikie vibaya na kuona aibu. Watu wanasemana, wananyoosheana vidole publically simply because fulani ana tumbo kubwa, sijui kitambi, amepigwa pasi etc. Kwa ulaya ukimsema mwenzio hivyo it amounts to insulting and you will be fined heavily if she/he complains, so external pressures hakuna, ni wewe tu na life style yako.
 
umeweka mawazo sahh rafk angu! wanawake wngne wanajbadlisha(jichubua)mpka wanakuwa kero.nan atawaoa zaidi ya kuwachzea?
 
hujawahi kuona mwanamke amezaa watoto lakini hana hizo kitambi?

michelle obama ana watoto wawili lakini mbona hana kitambi? au yeye mimba yake haikutanua tumbo lake?

Yes! nasema ni kujiendekeza na life style yetu ya maisha ndiyo inatupelekea hivyo.............

hapa hapa bongo kuna wadada ukikutana naye ukaambiwa ameshazaa huwezi kuamini na kuna wengine unakutana naye inakubidi uulize kama ameshazaa kumbe hata hajazaa...........

nakuhakikishia sehemu kubwa ya kasoro zetu katika miili yetu ambayo hatuikubalia au wenzi wetu hawayakubali ni ya kujitakia wenyewe.........

Asakuta, mimi nadhani usitoe general conclusion ya wanawake wote, maumbile ya binadamu yametofautiana sana.
Kuna wanawake wakishapata watoto na maumbile yao yanabadilika sana, achilia mbali tumbo kuongezeka au mwili kuwa mkubwa, wengine hata nyonyo zao zinaongezeka saizi.

Wapo wanaojiachia ila si wote, kumaintain mwili hasa kwa mwanamke aliyejifungua ni kazi ngumu inahitaji dedication ya hali ya juu.

Cha msingi, nadhani mtu atambue kuwa utu wake na uwepo wake hapa duniani ndicho cha muhimu zaidi, ajikubali mwenyewe hata kama maumbile yake yamebadilika.... asikubali kuhukumiwa na binadam ambaye naye kaumbwa na wala si mkamilifu.
Na wewe ukioa, usiangalie maumbile kama kigezo cha kwanza, binadam hubadilika kila kukicha.
 
hata nawe umeongea vyema sana

asakuta same umeongea poit bro. Ni ukweli usiopingika wanawake wengi hujiachia sana baada ya kupata mtoto/watoto, pia ulaji wa hovyo bila mpangilio.

Asubuhi mdada unakuta analiga mtori wa nyama, michapati, supu, maziwa, kisha anashusha na soda au bia kwa wale wasiokuwa ofisini muda huo. Mchana atataka ale ugali/wali/matoke na nyama nyekundu ikichanganywa na nyeupe mafuta ni ya kukamua, atashushia na soda/maji/bia hapa ni mchanyato. Jioni akitoka job apite bar anywe mibia na nyama choma, chips/ndizi choma au kaanga. Akifika home atakachokuta home twende kazi. Na usisahau ule muda asiokubali mdomo wake uwe likizo kila kitakachopita machoni pake lazima kifike mdomoni. Saa ngapi utaikwepa POLIGON SHEPU?

Badilika pangilia chakula na muda pia bila kusahau mazoezi ya viungo.
 
Last edited by a moderator:
Vitambi havihusiani na kipato wala kuzaa; ni mtu kutokujua namna ya kuu-control mwili wake. Kwa wanaume, ukiona kitambi kinakunyemelea, kimbilia gym, hata kwa wanawake hivyo hivyo.

Naendelea kusoma post zenu bajameni ....
 
Asakuta, mimi nadhani usitoe general conclusion ya wanawake wote, maumbile ya binadamu yametofautiana sana.
Kuna wanawake wakishapata watoto na maumbile yao yanabadilika sana, achilia mbali tumbo kuongezeka au mwili kuwa mkubwa, wengine hata nyonyo zao zinaongezeka saizi.

Wapo wanaojiachia ila si wote, kumaintain mwili hasa kwa mwanamke aliyejifungua ni kazi ngumu inahitaji dedication ya hali ya juu.

Cha msingi, nadhani mtu atambue kuwa utu wake na uwepo wake hapa duniani ndicho cha muhimu zaidi, ajikubali mwenyewe hata kama maumbile yake yamebadilika.... asikubali kuhukumiwa na binadam ambaye naye kaumbwa na wala si mkamilifu.
Na wewe ukioa, usiangalie maumbile kama kigezo cha kwanza, binadam hubadilika kila kukicha.

Unamaanisha hata mtu limwili likifutuka ajikubali tu?
 
mkuu asante kwa kuremind seminar yetu ya canaan. ni somo zuri kwa ambao hawakuwepo.
maisha magumu na watu wengi tumekwama ni vyema unachopata unatafuta jinsi ya kugawana na wenzako tusije tukatengeneza taifa la watu waliochanganyikiwa.
ili nibeba sana
 
Asakuta, mimi nadhani usitoe general conclusion ya wanawake wote, maumbile ya binadamu yametofautiana sana.
Kuna wanawake wakishapata watoto na maumbile yao yanabadilika sana, achilia mbali tumbo kuongezeka au mwili kuwa mkubwa, wengine hata nyonyo zao zinaongezeka saizi.

Wapo wanaojiachia ila si wote, kumaintain mwili hasa kwa mwanamke aliyejifungua ni kazi ngumu inahitaji dedication ya hali ya juu.

Cha msingi, nadhani mtu atambue kuwa utu wake na uwepo wake hapa duniani ndicho cha muhimu zaidi, ajikubali mwenyewe hata kama maumbile yake yamebadilika.... asikubali kuhukumiwa na binadam ambaye naye kaumbwa na wala si mkamilifu.
Na wewe ukioa, usiangalie maumbile kama kigezo cha kwanza, binadam hubadilika kila kukicha.

mkuu nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo , na mimi sijaanzia kwa wanawake na wala sijageneralize..... ukisoma post yangu toka ya kwanza utaona nilizungumzia wanaume kwa wanawake halafu nikatoa mfano wa kitambi ,,,,, then mkunde original akaninukuu na kuzungumzia wanawake waliojifungua...... ndiyo mtiririko ulivyokuwa hivyo mkuu.

nauhakika asilimia kubwa ya hao unaowatetea wamejiachia wenyewe na mwisho wa siku hata bila kusikiliza nini watu waliowazunguka wanawaonaje , wenyewe binafsi wanaanza kujiona hawafai.

mkuu tuache kutetea vitu vingine kuna maisha tunaishi sisi wabongo ambayo siyo maisha afya kabisa ,,,,, jaribu kumsoma TaiJike
 
Last edited by a moderator:
asakuta same umeongea poit bro. Ni ukweli usiopingika wanawake wengi hujiachia sana baada ya kupata mtoto/watoto, pia ulaji wa hovyo bila mpangilio.

Asubuhi mdada unakuta analiga mtori wa nyama, michapati, supu, maziwa, kisha anashusha na soda au bia kwa wale wasiokuwa ofisini muda huo. Mchana atataka ale ugali/wali/matoke na nyama nyekundu ikichanganywa na nyeupe mafuta ni ya kukamua, atashushia na soda/maji/bia hapa ni mchanyato. Jioni akitoka job apite bar anywe mibia na nyama choma, chips/ndizi choma au kaanga. Akifika home atakachokuta home twende kazi. Na usisahau ule muda asiokubali mdomo wake uwe likizo kila kitakachopita machoni pake lazima kifike mdomoni. Saa ngapi utaikwepa POLIGON SHEPU?

Badilika pangilia chakula na muda pia bila kusahau mazoezi ya viungo.

kweli dada yangu , yaani kuna life style fulani Watanzania tumejichagulia lakini ni majanga tupu kwa afya zetu ,,, halafu tunabaki kumlilia muumba kuwa ndiyo alivyotuumba kumbe tunajiharibu wenyewe.
 
Hizi shauri nyengine zinazotolewa humu ni ku-lostishana tu

Hivi mtu usifanye mazoezi kujiweka sawa kwa sababu wewe Mungu kakuumba mnene? How do you know kuwa Mungu kakuumba mnene?

Mtu umezaliwa meno yamepandiana, usiende kupatiwa braces ukayaweka sawa kwa kuwa Mungu kakuumba hivyo?

Mtu umezaliwa nyusi zimejaa uso mzima, usizipunguze ukazitengeneza kwa kuwa umezaliwa hivyo?
 
mkuu nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo , na mimi sijaanzia kwa wanawake na wala sijageneralize..... ukisoma post yangu toka ya kwanza utaona nilizungumzia wanaume kwa wanawake halafu nikatoa mfano wa kitambi ,,,,, then mkunde original akaninukuu na kuzungumzia wanawake waliojifungua...... ndiyo mtiririko ulivyokuwa hivyo mkuu.

nauhakika asilimia kubwa ya hao unaowatetea wamejiachia wenyewe na mwisho wa siku hata bila kusikiliza nini watu waliowazunguka wanawaonaje , wenyewe binafsi wanaanza kujiona hawafai.

mkuu tuache kutetea vitu vingine kuna maisha tunaishi sisi wabongo ambayo siyo maisha afya kabisa ,,,,, jaribu kumsoma TaiJike

Asakuta, kujiachia sikubaliani nakwo... kama mdada kajifungua na hazingatii lishe, mazoezi ni kweli atakuwa bonge, huyo mimi simzungumzii. Nawatetea wale wanaojitahidi kwa kadri ya uwezo wao kupunguza uzito, lakini hata hivyo mtu asijishushe hadhi kisa yupo "shapeless ".. kama unakumbuka kuna dada katoa thread akiomba jinsi gani anaweza kupunguza size ya manyonyo maana baada ya kujifungua yamekuwa makubwa kupitiliza, unaweza, kumsaidia kweli? TaiJike kasema ukweli kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom