Jinsi sogea tuishi ilivyoharibu thamani ya ndoa

Sema ni aina mpya ya uoaji. Kulingana nawakati tuliomo mleta mada badirika.

Vigelegle ndoani vinaishia punde tu.ng'ombe 15 ntu atoe wapi.

Achana na mambo ya mjini huku bongo ndoa tunakula mkataba tu.

Hao unaoona wamerudi kwao ni mktaba. umeisha
 
Kitu ambacho watu hawakijui ni kwamba sogea tuishi ni njia ya kuelekea kwenye ndoa wanandoa walio wengi walianza na sogea tuishi badae wakafunga au kubariki ndoa zao
 
Mkuu usisahau miaka ina kwenda, vumbuzi mbalimbali zaki sayansi zina toka kila siku, research pia zina fanyika kila siku, tathimini ya maswala mbalimbali pia zina fanywa na kupatikana basi na tabia za viumbe vile vile zimebadilika kutokana na mazingira na technlogy tulio nayo sasahivi. Watu hawa taki cheni ndefu za kufunguna kwa viapo vingiii simple una kuja tuna test mitambo kikieleweke fresh kikibuma bila kelele mingi 50/50.
hahahhahah nimeipenda io
 
Hahaha sogea tuishi inamsaidia mwanaume kujua km kauziwa mbuzi kwenye gunia au vip

Ni nzuri sana kwa mapenzi ya siku hizi maana ukiona anakusumbua una piga zako chini unatafuta mwingine

Hii ina mshusha thamani mwanamke hivyo dada zangu katu usikubali sogea tuishi
 
Hii njia sahihi kabisa kujua kama yaliyomo yamo, inasaidia kujua unaishi na mtu wa namna gani.

Nipo nakula mema ya namna hiyo ila nimegundua ni kimeo, nastaafu muda wowote.
 
Mkuu wewe fanya unachoweza duniani humu huwezi fanana na watu wote!

Makubaliano yao tu. Huwezi juwa yaliyopangwa na Mungu.
 
Shaur yao
Wapambane na hali zao

Hayanihusu waishi watakavyo ila wasivunje sheria za nchi
 
Wewe ndio umetafsiri vibaya ndoa.
Ndoa ni watu wawili waliokubaliana kuishi pamoja kama mume na mke.

Kwenya biblia hakuna sehemu wamesema ukitaka kuoa uende kanisani sijui kufunga ndoa. Hakuna sehemu wamesema utoe ngombe 15.

Nyie mkishakubaliana mkaishi pamoja hio ni ndoa tayari.
 
Mnanikumbusha sogea tuishi ilinisaidia kujua kuwa nimepotea njia niliishia na mwanaume mwaka mmoja, nikagundua hana nguvu za kiume hadi anywe konyagi, pili ni mlevi mbwa akilewa anajikojolea na kujinyea na matusi ya kila rangi anatoa, tatu kumbe na ni muumini wa kuvuta bangi na sigara, NNE kila Leo nafuma msg za wanawake Mara ndomu kwenye mifuko na huku ndani kazi inamshinda, tano alikuwa na wivu hiyo ole anikute hata naongea na wenzie ni ugomvi, sita nikagundua familia yao haieleweki baba na mama waliachana, pia baba ana watoto wengi wa nje
 
Pamoja na shida zote hizo bado ulifanikiwa kuishi nae mwaka mmoja (siku 365!)
 
Mnanikumbusha sogea tuishi ilinisaidia kujua kuwa nimepotea njia niliishia na mwanaume mwaka mmoja, nikagundua hana nguvu za kiume hadi anywe konyagi, pili ni mlevi mbwa akilewa anajikojolea na kujinyea na matusi ya kila rangi anatoa, tatu kumbe na ni muumini wa kuvuta bangi na sigara, NNE kila Leo nafuma msg za wanawake Mara ndomu kwenye mifuko na huku ndani kazi inamshinda, tano alikuwa na wivu hiyo ole anikute hata naongea na wenzie ni ugomvi, sita nikagundua familia yao haieleweki baba na mama waliachana, pia baba ana watoto wengi wa nje

Itoshe tu kusema unateseka na unamchafua mwamba ili kujitekenya.
 
Heshima ya ndoa iko pale pale kwa watu wanaojitambua bila kujali mlango walioingilia kwenye ndoa.

Suala la kuachana lipo pale pale bila kujali umetoa mahari ya ng'ombe 15, milioni 5, umefunga ndoa kanisani/msikitini au bomani kutegemeana na wahusika wenyewe.

Kwa kipindi hiki hasara za kufunga ndoa ni kubwa kuliko faida:
Mosi:Gharama kubwa sana kukamilisha harusi

Pili: Unafunga ndoa kwa gharama kubwa huku mke mwenyewe ni used/second hand. Nini hiki kama si ufala? Second hand wife unamtolea ng'ombe 15 au m3?
Ujanja hapa ni sogea tuishi-nawapongeza sana wanaosogeza tu.
Hahahahaah hii inapunguza makali ya ndoa na inasaidia kujuana vyema! Mfano mie hii ndio imenipa mke wangu na nilimjua vyema kabla hata sijafanya maamuzi ya kuoa!
 
Back
Top Bottom