Jinsi sogea tuishi ilivyoharibu thamani ya ndoa

Mkuu ukibishana na wakati utapata taabu sana...

Acha tu maisha yaendelee.. Chagua moja...

Sogea tuishi ina faida sana kuliko hasara...
Ndoa zina hasara sana kuliko faida...
 
Kitu ambacho watu hawakijui ni kwamba sogea tuishi ni njia ya kuelekea kwenye ndoa wanandoa walio wengi walianza na sogea tuishi badae wakafunga au kubariki ndoa zao
hii safi sana inasaidia kujuana mashine zenu. Km me ni
tasa!
Bunduki bila risasi.
vibamia chini ya kiwango.au
mshedede nguvu km simba.
mfyatuaji watoto vizuri.
kifupi km anajua kung'ata uzuri.

Siyo ule wa kupepea wengine walisharogwa kitamboo na shangazi zao.wanaishi kimjini mjini tu.
Na humu mjini hatujuani ki viiile km kijijini tunajulikana mpaka ukoo wa wavivu.
 
Kama mahusiano yalianza na video call sex, call sex, snap chat sex basi mwendelezo wake ndio huo na hatimaye kubwagana. Mapenzi ya wahenga yalikuwa yana heshima yake kiukweli, ukimtaka binti sharti umsotee.

Leo hii wanaitwa mademu, au pisi kali wamejisahau sana. Mapenzi yamekuwa cheap
 
Unakuta mtu ana survive kwa boom kaamua kuishi na mwanamke, bum limeisha anakimbiwa anakuja huku kuomba ushauri, mwanamke anaye anaenda kwingine anaendelea kupanuliwa uke, akija kuolewa jamaa dyudyu ni ndogo, usaliti unaanza ndoa inavurugika, stress zinakuja wanakufa wanatupisha ulimwenguni
 
Back
Top Bottom