Anafeli sana jamaaTatizo liko wapi? Waache watu waishi maisha yao na wewe ishi maisha yako. Usijiguze kuwa Mzee Kifimbo Cheza karne hii ya 21! Ni ushauri tu lakini.
Hapo kwenye used ndio anguko lilipoanzia hapo ndipo kipa alipoliacha lango waziHeshima ya ndoa iko pale pale kwa watu wanaojitambua bila kujali mlango walioingilia kwenye ndoa.
Suala la kuachana lipo pale pale bila kujali umetoa mahari ya ng'ombe 15, milioni 5, umefunga ndoa kanisani/msikitini au bomani kutegemeana na wahusika wenyewe.
Kwa kipindi hiki hasara za kufunga ndoa ni kubwa kuliko faida:
Mosi:Gharama kubwa sana kukamilisha harusi
Pili: Unafunga ndoa kwa gharama kubwa huku mke mwenyewe ni used/second hand. Nini hiki kama si ufala? Second hand wife unamtolea ng'ombe 15 au m3?
Ujanja hapa ni sogea tuishi-nawapongeza sana wanaosogeza tu.
Hakika kabisa, wasichana wengi used kitu ambacho ni aibu kabisa kusimama mbele ya mchungaji/padre au shekh kufunga ndoa huku kuna boya mwingine aliyekuwa anakula mzigo anakucheki tu na kapewa kadi ya mwaliko na pengine kapiga mzigo wiki iyo hiyo ya ndoa.Hapo kwenye used ndio anguko lilipoanzia hapo ndipo kipa alipoliacha lango wazi
kumbeMkuu usisahau miaka ina kwenda, vumbuzi mbalimbali zaki sayansi zina toka kila siku, research pia zina fanyika kila siku, tathimini ya maswala mbalimbali pia zina fanywa na kupatikana basi na tabia za viumbe vile vile zimebadilika kutokana na mazingira na technlogy tulio nayo sasahivi. Watu hawa taki cheni ndefu za kufunguna kwa viapo vingiii simple una kuja tuna test mitambo kikieleweke fresh kikibuma bila kelele mingi 50/50.