Jinsi shetani anavyopotosha wanadamu

Jinsi shetani anavyopotosha wanadamu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,049
Reaction score
61,375
Ulimwengu mzima kuanzia dini ya uwongo,mifumo ya kisiasa yenye ufisadi,mifumo ya kibiashara yenye pupa yaani kupata hela ya haraka haraka iko chini ya mamlaka ya ibilisi.hivyo hatushangai kuona kwamba shetani na roho wake waovu huwashawishi watu wenye mamlaka waseme uwongo.ukweli wa Jambo Hilo huonekana wakati wafanyabiashara maarufu wanapowashawishi watu kupitia matangazo ya biashara wanunue bidhaa zinazodhuru na wajiingize kwenye miradi iliyokusudiwa kuwalaghai.
Kwa upande wa viongozi wa dini iwe wanajulikana kwa majina ya cheo Kama mchungaji,pasta,kasisi,rabi au jina lolote wameikandamiza kweli kwa ajili ya uwongo mafundisho yao ya uwongo Kama vile "ukiokolewa,umeokolewa milele',kutokufa kwa nafsi,na wazo la kipumbavu kwamba Mungu hukubali ndoa za watu wa jinsia moja au njia ya maisha Yao
Kwa upande wa wanasiasa hutumia mbinu ya kusema uwongo ili kuwapotosha wanadamu ,mfano wanadanganya kwamba tuna amani na usalama wakati uharibifu wa ghafla unazidi kutupata.wameruhusu sigara,kamari na mambo Kama hayo ili tu kupata Kodi.Tusipumbazwe ili mwisho wetu usiwe katika ziwa za moto.nasema haya kwa sababu nawapenda Sana Wana JF wenzangu wa MMU
 
Njoo dini ya Walutheri KKKT
Hakuna uwongo na hizo ndoa za jinsia moja tumezipinga.
 
Njoo dini ya Walutheri KKKT
Hakuna uwongo na hizo ndoa za jinsia moja tumezipinga.
Mimi pia Ni mlutheri
Ninachojua mtu mwema husema Kweli, maneno ya ukweli yatatoka kinywani mwake.atawambia watu wote ukweli watu asiowafahamu na anaowafahamu ,iwe NI kuhusu mambo madogo au makubwa.ni vizuri viongozi wetu Hawa wadini kufundisha Zaid kwa bidii namna ya watu kuwa wanyoofu
Haina maana kuwa mlutheri wakati unatumia lugha chafu,unavalia isivyofaa,unasikiliza miziki michafu,unatazama porno,unakunywa pombe kupita kiasi,una michepuko,...yote haya Ni kuwaonea wivu watenda dhambi
 
Mkuu wenye haki wapo
But dunian wahovu ni wengi

Ukiguswa na hili
Kawe mchungaji na kuanza kurudisha kondoo wa Mungu zizini

Kama mm soon nitaanza.
Mimi pia Ni mlutheri
Ninachojua mtu mwema husema Kweli, maneno ya ukweli yatatoka kinywani mwake.atawambia watu wote ukweli watu asiowafahamu na anaowafahamu ,iwe NI kuhusu mambo madogo au makubwa.ni vizuri viongozi wetu Hawa wadini kufundisha Zaid kwa bidii namna ya watu kuwa wanyoofu
Haina maana kuwa mlutheri wakati unatumia lugha chafu,unavalia isivyofaa,unasikiliza miziki michafu,unatazama porno,unakunywa pombe kupita kiasi,una michepuko,...yote haya Ni kuwaonea wivu watenda dhambi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom