OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
Kwa sababu lile ni shamba la bibi (yake)Naombeni kujua wakuu wa JF
Napata shida sana kujua namna Rais wetu anavyoweza kuokota vitu kama magari,vichwa vya treni nk pale bandarini
Je, anakuwa katika ziara za kawaita tu then katika mizunguko ya hapa na pale ndio anapata kuokota?
Natambua kuwa Rais ana vyanzo na intelijensia kuwa katika maeneo nyeti. Hivyo taarifa humuijia. Lakini najiuliza kwa nini mpaka yeye tu ndio akaokote?
Nini maana ya mgawanyo wa majukumu?Hakuna vyombo vingine vya udhibiti. Kwa nini isiwe Mabosi wa bandari wenyewe,au PCCB na pengine waziri?
Naona kama watendaji wa Rais mnamkumbatisha Rais kila kitu matokeo yake anakuwa busy mpaka anakosa mda wa kuhudhuria misiba mizito. Matokeo yake mamlaka zingine zinadharaulika kwa kuwa hazina nguvu( Kama TCRA inavyodhalaulika na zile Channel 5)
Anyway kufupisha maelezo
Naomba kujua jinsi Rais anavyookota vitu pale bandarini
awamu hii haruhusiwi kiongozi au mtu mwingine yeyote kutangaza publicly mambo ya "wizi" na "majizi". ni mtu mmoja tu!Naombeni kujua wakuu wa JF
Napata shida sana kujua namna Rais wetu anavyoweza kuokota vitu kama magari,vichwa vya treni nk pale bandarini
Je, anakuwa katika ziara za kawaita tu then katika mizunguko ya hapa na pale ndio anapata kuokota?
Natambua kuwa Rais ana vyanzo na intelijensia kuwa katika maeneo nyeti. Hivyo taarifa humuijia. Lakini najiuliza kwa nini mpaka yeye tu ndio akaokote?
Nini maana ya mgawanyo wa majukumu?Hakuna vyombo vingine vya udhibiti. Kwa nini isiwe Mabosi wa bandari wenyewe,au PCCB na pengine waziri?
Naona kama watendaji wa Rais mnamkumbatisha Rais kila kitu matokeo yake anakuwa busy mpaka anakosa mda wa kuhudhuria misiba mizito. Matokeo yake mamlaka zingine zinadharaulika kwa kuwa hazina nguvu( Kama TCRA inavyodhalaulika na zile Channel 5)
Anyway kufupisha maelezo
Naomba kujua jinsi Rais anavyookota vitu pale bandarini
Haitakiwi uulize ila ushangae tu,ukiona baba yako anajitekenya na kucheka mwenyewe inabidi uanze kujipanga kumpeleka hospitalini,kama sio muigizaji basi akili inaruka,CCM hiyo hiyo inakunya sebuleni halafu ikisafisha inatangaza kwenye Tv halafu tunashangilia.Naombeni kujua wakuu wa JF
Napata shida sana kujua namna Rais wetu anavyoweza kuokota vitu kama magari,vichwa vya treni nk pale bandarini
Je, anakuwa katika ziara za kawaita tu then katika mizunguko ya hapa na pale ndio anapata kuokota?
Natambua kuwa Rais ana vyanzo na intelijensia kuwa katika maeneo nyeti. Hivyo taarifa humuijia. Lakini najiuliza kwa nini mpaka yeye tu ndio akaokote?
Nini maana ya mgawanyo wa majukumu?Hakuna vyombo vingine vya udhibiti. Kwa nini isiwe Mabosi wa bandari wenyewe,au PCCB na pengine waziri?
Naona kama watendaji wa Rais mnamkumbatisha Rais kila kitu matokeo yake anakuwa busy mpaka anakosa mda wa kuhudhuria misiba mizito. Matokeo yake mamlaka zingine zinadharaulika kwa kuwa hazina nguvu( Kama TCRA inavyodhalaulika na zile Channel 5)
Anyway kufupisha maelezo
Naomba kujua jinsi Rais anavyookota vitu pale bandarini
Mtaweza kweli?, mahana yeye huokota kisha hutoa pesa kuvinunuaAtuambie nasi tukajiokotee
Huyu ni mtu wa ajabu kwelikweli ati anasema vyuma vimekaza kwa waliokuwa na vyeti feki? Hata wauza bar nao walikuwa na vyeti feki? Shame```Naye akawajibu "Msinililie Mimi, jililieni ninyi na kura zenu, kwa maana hakuna aliyewalazimisha mpange foleni siku ile." Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni, wala wasiweze kumjibu. Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake bandarini``` *_(Watanzania 5:20)_*
Dah...labda kwasababu ya vile viti vilivyokuwa vinalipiwa kwa mwezi chiefHuyu ni mtu wa ajabu kwelikweli ati anasema vyuma vimekaza kwa waliokuwa na vyeti feki? Hata wauza bar nao walikuwa na vyeti feki? Shame
Nasikia eti kilikuwa Na hadi bia fekiHuyu ni mtu wa ajabu kwelikweli ati anasema vyuma vimekaza kwa waliokuwa na vyeti feki? Hata wauza bar nao walikuwa na vyeti feki? Shame
Yan natamani ningekuwa na bahati kama hiyo, bahati mbaya tu sikuzaliwa bichwa kubwaNaombeni kujua wakuu wa JF