Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Ungesoma kwa kituo na ukaelewa ungelia phala wewe🤣🤣🤣Amen..🙏
Amani na itawale, pia tumtukuze Mungu wetu kwa wema wake..😊
Ungesoma kwa kituo na ukaelewa ungelia phala wewe🤣🤣🤣Amen..🙏
Amani na itawale, pia tumtukuze Mungu wetu kwa wema wake..😊
wenyew kakaHuyo kwenye avatar ni Donald Trump au mdogo wake?
D TrumpM
wenyew kaka
Sponsored ads tunafanya sana 50% ya sales zinatoka huko ila sasa kwa Facebook inategemea na aina ya bidhaa hiyo niliyopost hapo Huwa tunatumia Instagram maana ni 60k Facebook wengi wachovu so tunawatangaziaga sabuni pekee ya 3k tuProduct Zina vutia, jitahidi ufanye matangazo katika kurasa za mitandao ya kijamii.
Hasa fb Ina namba kubwa ya watu kibongo bongo, na una pewa hadi nafasi ya kuchagua aina, sehemu ya wateja unao taka kuwa fikia.
Wanatangaza sana sana sanaKavuna 200 Million kwa Wazungu huko wanaogawa hela kwa Wabongo, halafu hii michongo watu hua wanaipiga kimya kimya hawatangazi hata kidogo
Yes nimekukumbuka, na ni kweli nilikataaWe mdada Nadhani ndio wa Cornice products. Mwaka huu mwezi wa 3 nilikuomba nije ofisini kwenu mnakofanya production nijifunze mawili matatu japo kwa kutazana tu ukanikatalia kata kata. Nilijutext Whatsapp na ukanijibu kiufupi kua HAIWEZEKANI. Hilo jibu lilinivunja moyo sana kama kijana wa kitanzania mwenye ndoto nyingi katika industry hii ya production
Wanatangaza wapi mkuu hebu nimegee hii siri tafadhal.... Na vigezo mostly huwa ni vipi?Wanatangaza sana sana sana
Funguo wenyewe wametangaza zipo nyingi sana kikubwa badilisha circle haya mambo yanawezekanaWanatangaza wapi mkuu hebu nimegee hii siri tafadhal.... Na vigezo mostly huwa ni vipi?
Upo sekta ganiWanatangaza wapi mkuu hebu nimegee hii siri tafadhal.... Na vigezo mostly huwa ni vipi?
Sido nimepita tangu mwaka jana. Kuhusu kutuma ujumbe ukiwa na salamu, utambulisho mfupi pamoja na dhumuni la kukutafuta sioni kama ni approach mbaya, ukizingatia pia ulitoa mawasiliano yako katika thread ya 2023.Yes nimekukumbuka, na ni kweli nilikataa
Vijana tujifunze connection and how to connect
Huwezi mtafuta mtu kumtumia massage Whatsapp kuwa unataka kuja ofisini nikufundishe production haiwi hivyo, lazima ujue namna ya ku connect na kumshawishi mtu akufunze
Ntajuaje kama umetumwa na competitor wangu uje uchunguze ninavyo Fanya?
Uliona wapi nimetangaza Training za kufundisha manufacturing ????
NB: Approach yako ulioanza nayo sikuielewa, pia ukitaka kujua kutengeneza bidhaa kaanze Sido wanatoa mafunzo Mimi ntakufundisha how to do this business
Dunia Haina huruma usifikirie utahurumiwa unatakiwa uendelee kugonga milango untill it's opens yaani gonga gonga sana Leo Cornice Kakukataliwa kwenda kiwandani kwake kujifunza, hutakiwi kukata tamaa kisa Cornice nenda kwenye njia nyingine
Sehemu gani hyo wanapotangazia. Share mkuu I know una lengo la kutusaidia vijana usisiteFunguo wenyewe wametangaza zipo nyingi sana kikubwa badilisha circle haya mambo yanawezekana
Hapa sijakuelewa nipo sekta kwa maana ya ninayotaka kuinvest ama?Upo sekta gani
Ngoja nipumzishe vufu kesho ntakupa linkSehemu gani hyo wanapotangazia. Share mkuu I know una lengo la kutusaidia vijana usisite
Hapa sijakuelewa nipo sekta kwa maana ya ninayotaka kuinvest ama?
Ahaa kama nimekupata vizuri ni sekta nayojishulisha nayo sio, nipo kwenye construction sector (sekta ya ujenzi).... Anyway kesho hiyo tutafika pazuri mkuu pumzika kwanza.Ngoja nipumzishe vufu kesho ntakupa link
Sekta nilimaanisha mfano Mimi ni manufacturing/cosmetics wewe je?
Wanaangalia innovation,social impact na business modelAhaa kama nimekupata vizuri ni sekta nayojishulisha nayo sio, nipo kwenye construction sector (sekta ya ujenzi).... Anyway kesho hiyo tutafika pazuri mkuu pumzika kwanza.
Mbona rahisi sanaa jibu lake.Huu Uzi mzuri sana ila mleta mada Kuna maswali wewe funguka tu..
Jamaa anauliza wanatangaza wapi nawewe unamuuliza upo sekta gani dah.
Alikwambia yupo kwa shemeji yake kitongo Cha mifugo kulisha mbwa
Kama kile ulichokifanya unaona ni rahisi nenda kajaribu kwa biashara Tatu kama zangu ukifanikiwa Kuna 100k mfuko wa ShatiSido nimepita tangu mwaka jana. Kuhusu kutuma ujumbe ukiwa na salamu, utambulisho mfupi pamoja na dhumuni la kukutafuta sioni kama ni approach mbaya, ukizingatia pia ulitoa mawasiliano yako katika thread ya 2023.
Competitors wako wakihitaji chochote kutoka kwako hawatohitaji kunitumia Mimi pangu pakavu tokea huku Bagamoyo, they don't need to beat around the bush. Nadhani hapo ulitumia hisia zaidi
Yote kwa yote nisiwe mchoyo wa fadhila, nashukuru nimekua mnufaika wa maarifa kupitia thread zako tangu 2023, nimejifunza kua Kila kitu kinawezekana ukiwa na nia na ukawekeza nguvu na maarifa.
Kuna jamaa mmoja juzi alikuja dukani kwangu anataka nimfundishe navyo fanya biashara ili amfungulie mkewe.We mdada Nadhani ndio wa Cornice products. Mwaka huu mwezi wa 3 nilikuomba nije ofisini kwenu mnakofanya production nijifunze mawili matatu japo kwa kutazana tu ukanikatalia kata kata. Nilikutext Whatsapp na ukanijibu kiufupi kua HAIWEZEKANI. Hilo jibu lilinivunja moyo sana kama kijana wa kitanzania mwenye ndoto nyingi katika industry hii ya production