Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,681
- 112,675
Sijambo na nimezidi kuimarika bro...😊Ungekuwa dem ningesema nimekumiss, bahati mbaya una mapengo🤣🤣
Sijambo na nimezidi kuimarika bro...😊Ungekuwa dem ningesema nimekumiss, bahati mbaya una mapengo🤣🤣
Dingi ingiza kiti ndani, nwana ndio nini 😂😂Nwana Yesu akutunze mwali, leo silali hadi umalize.
Alafu....
Sijafunga PM...😋
Najua sijakutendea haki pznapo majaliwa tutaliweka sawa kaka.Sijambo na nimezidi kuimarika bro...😊
Hapa Kuna majibu mawili jibu la kwanzaUli sema mtaji tu kipengele, hizo international event ulizo safiri uli paa na ungo ehh?
We leta hizo product tuone ka Zina faa mkuu.
Product Zina vutia, jitahidi ufanye matangazo katika kurasa za mitandao ya kijamii.Hapa Kuna majibu mawili jibu la kwanza
Ile pesa ya TEF ya Kwanza Ili ni boost sana ilikuwa 20m+ kumbuka wakati nalalamika mtaji sio kwamba sikuwa na mtaji kabisa au Sina wateja kabisa ni down ambayo Kila mfanya biashara anaweza nielewa
Pili sio Kila international event nalipa mwenyewe zingine unalipiwa go and return plus accommodation
Hapo nilipo bold sijaleta Uzi huu Ili uone kama products zinafaa au la
Kwan mnaongelea nnTuendelee
2024 nilibadilisha circle yangu almost in 90% yaani hata ndugu nilikuwa mbali nao, nikatafuta marafiki wapya hasa walionizidi uwezo yaani Ili tuwe karibu nilazima unizidi aidha ni hela au maarifa
Meetup na networking events kwa sana nikajipangia Kila application lazima niombe kama sipo eligible nifanye namna yoyote nipenye.
Mwaka 2024 nilijaza application zaidi ya 100 hapo ni local na international hata
Nikajifunza pitching and story telling, kuandaa business plan, kuandaa pitch deck na (kuangalia YouTube videos za pitching completion kina shark tank)
Kwenye hizi harakati nikakutana na dada mmoja yupo kwenye plastic Recycling anatengeneza tofali kutumia mchanga na plastic akaniambia Jane jipachike kwenye blue economy Kuna hela tafuta njia hata kwenye mwani
Nikarudi kwa yule dada ambae alinisaidia TEF ni organic Cosmetics formulator yaani ilikuwa Kama kumsukuma mlevi, akatuma file la cosmetics formulas nikajichagulia nikapata products mbili za mwani
Sea Essence Scrub (scrub ya Mwani) na Seaweed Soap nikazama nazo kwenye applications hapo napigwa pindi mara kwa mara networking events za international investors sikosi yaani hata za kusafiri nasafiria kabisa
Ikaja project moja ya blue economy ya Norway nikaomba kwenye pitching nikaenda nikaomba $50k wakakubali nikapita kwenye valuation walipokuja wakasema ni nyingi Sana wewe inakutosha $30k tu
(Nilikuja kujua baada ya kuomba feedback wakaniambia Bado nipo mchanga kwenye mwani wamenipa kwakuwa tu wameona nafanya kweli biashara ila kama wangekuta ni mwani peke ake ingekuwa poa, wakanipa watu wawili wakunifanyia mentorship
Ntarudi kuja kueleza kwa Kina nilivyoweka ku generate 200m sales
Kavuna 200 Million kwa Wazungu huko wanaogawa hela kwa Wabongo, halafu hii michongo watu hua wanaipiga kimya kimya hawatangazi hata kidogosijaelewa kitu
Amen..🙏Najua sijakutendea haki pznapo majaliwa tutaliweka sawa kaka.
Hata hivyo asante kwa connection ya Hisiana mission haikuwa bure kaka🤣🤣🤣🤣
Natafuta kazi naweza pata hata kitengo cha sales kwa biashara yako bosiHapa Kuna majibu mawili jibu la kwanza
Ile pesa ya TEF ya Kwanza Ili ni boost sana ilikuwa 20m+ kumbuka wakati nalalamika mtaji sio kwamba sikuwa na mtaji kabisa au Sina wateja kabisa ni down ambayo Kila mfanya biashara anaweza nielewa
Pili sio Kila international event nalipa mwenyewe zingine unalipiwa go and return plus accommodation
Hapo nilipo bold sijaleta Uzi huu Ili uone kama products zinafaa au la
Wacha bana...😳Kavuna 200 Million kwa Wazungu huko wanaogawa hela kwa Wabongo, halafu hii michongo watu hua wanaipiga kimya kimya hawatangazi hata kidogo
Mpunga Babu wewe huelewi nini hapo wanaongelewa Watasha na jinsi wanavyomwaga hela kwa Waabongo wenye idea za biashara ila hawana kipato chochoteKwan mnaongelea nn
Hatuna nafasi kwasasa mkuu..😊Natafuta kazi naweza pata hata kitengo cha sales kwa biashara yako bosi
Sio lazima wote tuelewe aiseèee....Kwan mnaongelea nn
Niwewe kwan 😂Hatuna nafasi kwasasa mkuu..😊
Mwisho wa uzi weka na vipodozi kabisaa tufanye jamboWorry out darling hata ladha siijui
Umiza kichwa kijana...🤨Niwewe kwan 😂
Huyo kwenye avatar ni Donald Trump au mdogo wake?Niwewe kwan 😂