Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
5,278
Reaction score
10,104
Heshima kwenu wakubwa

Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023
Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker kiasi niseme vile unapenda kusikia lakini the entrepreneurship journey sio rahisi hata kidogo ukizingatia wengi hatuna backup Wala backgroup ya kuwa na biashara zenye maono makubwa

Mwaka juzi ulikuwa mwaka mgumu sana sana kibiashara no marketing budget ni stocks no experienced team, yaani was no no no Kila pahala

Humu jamvini nako nikala za uso vile vile lakini sikukoma

Here is how and where nikafanikiwa kupata $50k grants and 200ml mapato from sales

Nilianza kwa kuuza asset yangu ndogo niliyokuwa nayo (3m) nikaita team yangu nikawakalisha chini na kuwapa somo, nikapunguza mishahara na nikapunguza baadhi ya watu tukabaki staffs 4 (ukijumlisha na Mimi) japo baadae mmoja akatoka tukabaki watatu

Niliomba TEF (Tony Elumelu Foundation) nilikuwa na email tatu moja yangu mbili za watu, moja ya mdogo wangu ingine ya rafiki yangu

Nikaomba biashara tofauti tofauti Ili ikitokea lolote niambulie chochote,

Mungu mkubwa nikapata yangu na ya dogo each $5k (to make $10k) hii ni 2023 November hela zikaingia 2024
Safari ikaendelea Sijakaa sawa TEF wakatangaza alumni walio kwenye green business wanawapa grants ya $5k Tena hii wali partner na GIZ

Nikaomba kwa account moja sikutaka ku cheat Tena maana nilikuwa bize sana tofauti na awali na muda nilikuwa Sina kuweza kusoma na kufanya quiz account zote tatu

Baadae nikaona wame extend deadline hii Huwa ni dalili nzuri kwa applicants maana applications zinakuwa hazijafika idadi wanayo itaka wakaondoa na kigezo Cha u alumni (ilikuwa wanawake tu) so nikaombea Tena nikajipa muda mzuri tu Kila siku natamba na account moja, kwenye YouTube session kwenye attendence nikawa na sign zote tatu

Hapa mbili zilikuwa idea na moja ndo my real business

Hapa bahati ikawa pia upande wangu account zote zikapata kimbembe kikaja kwenye verification huyu rafiki yangu hajui kingereza🤭🤭🤭 ikabidi nimjaze kiziwi (hearing imperfection) ili akiwaya waya waelewe asikii vizuri mambo yasiwe mengi, Huwa verification wanafanya kwa Whatsapp so ikabidi nianze kumpiga pindi na kuuliza maswali kwa ambao wameshafanyiwa verification nikamwelekeza na Mambo yakawa vizuri
Account ya dogo hakuwa na shida akafanya mwenyewe

Hii yangu sasa business
Plan ikarudishwa nimekosea akili ikanivurugika nikamtafuta dada mmoja hivi ambae kanizi kwenye hizi mambo akarekebisha nikapata mwaka huu mwezi wa pili mzigo ukaingia UBA
Hawa wakulungwa wangu nikawakatia Chao maisha yanaendelea

Aysee ku type kazi sana ntarudi Tena

"Don’t wait for perfect start now, grow anyway"
Rejea Uzi huu
 
Tuendelee
2024 nilibadilisha circle yangu almost in 90% yaani hata ndugu nilikuwa mbali nao, nikatafuta marafiki wapya hasa walionizidi uwezo yaani Ili tuwe karibu nilazima unizidi aidha ni hela au maarifa
Meetup na networking events kwa sana nikajipangia Kila application lazima niombe kama sipo eligible nifanye namna yoyote nipenye.
Mwaka 2024 nilijaza application zaidi ya 100 hapo ni local na international hata
Nikajifunza pitching and story telling, kuandaa business plan, kuandaa pitch deck na (kuangalia YouTube videos za pitching completion kina shark tank)

Kwenye hizi harakati nikakutana na dada mmoja yupo kwenye plastic Recycling anatengeneza tofali kutumia mchanga na plastic akaniambia Jane jipachike kwenye blue economy Kuna hela tafuta njia hata kwenye mwani

Nikarudi kwa yule dada ambae alinisaidia TEF ni organic Cosmetics formulator yaani ilikuwa Kama kumsukuma mlevi, akatuma file la cosmetics formulas nikajichagulia nikapata products mbili za mwani
Sea Essence Scrub (scrub ya Mwani) na Seaweed Soap nikazama nazo kwenye applications hapo napigwa pindi mara kwa mara networking events za international investors sikosi yaani hata za kusafiri nasafiria kabisa

Ikaja project moja ya blue economy ya Norway nikaomba kwenye pitching nikaenda nikaomba $50k wakakubali nikapita kwenye valuation walipokuja wakasema ni nyingi Sana wewe inakutosha $30k tu

(Nilikuja kujua baada ya kuomba feedback wakaniambia Bado nipo mchanga kwenye mwani wamenipa kwakuwa tu wameona nafanya kweli biashara ila kama wangekuta ni mwani peke ake ingekuwa poa, wakanipa watu wawili wakunifanyia mentorship

Ntarudi kuja kueleza kwa Kina nilivyoweka ku generate 200m sales
 
Bwana Yesu akutunze mwali, leo silali hadi umalize.
Alafu....
Sijafunga PM...😋
 
Back
Top Bottom