Kungu Kayuki
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 351
- 205
Kweli hawa jamaa wanakuwa na gari nzuri wanavaa kiofisa kama bankers huna shaka nao kama ni wezi mataperi
Daah! Nashukuru Mungu aisee!...Una bahati umekutana na matapeli wasio wazoefu, kitendo chako cha kutoka ndani tu na kuwa pamoa nao ungepuliziwa dawa fulani na kukupoteza kabisa fahamu zako, ungezindukia jangwani huku kimilioni chako kikisombwa...
Tungewatumia hawa katika ujenzi wa viwanda tungekuwa mbali sana!Hiyo tasnia imekua kwa kasisana siku zahivi karibuni
Kweli mkuu mhimu kuwa makini tu na njia tunazopita....bhassYaani akuamini kukupa usd elf 15000 ukamchenjie alafu hapo hapo anadai hakuamini umwachie hela zako? Utapeli wa kitoto kabisa huu. Eti anaogopa kutembea tembea, mbele ya hela kweli?
mkuu wewe ni mafia nimekukubaliWakuu habari
Jana wakati nikiwa benki(jina kapuni) nilifanya taratibu zote, kuandikia form ya kuwekea pesa nikapanga mstari tayari kwa huduma... gafla akaja kaka mmoja hivi na kuniita falagha
" samahani naomba unisaidie kuandika hapa" yule kaka aliongea huku akiwa ameshika payinslip(fomu ya kuweka pesa) huku akitoa bahasha yenye USdollar alidai kuwa kapewa na wachina kwenye sheli flan( jina kapuni) thamani ya USD15000
Sijaanza kumwelekeza mara dada mmoja alikuwa karibu yetu akaingilia" hizo dollar hazi badilishwi hapa, labda benki ya postal"
Basi sababu mi niliitwa nitoe msaada niliamini kuwa jamaa kashapata msaada aende zake benki tajwa..
Ile nataka kuondoka nirudi kwenye line yule kaka mwenye dollars akasema " Naogopa kwenda peke yangu kama vip nisindikizen kisha pesa zitazotoka nitawapa milioni moja moja" mmh! Kusikia hivyo nikahairisha kwenda kwenye line.... nazidi kuingia kwenye mtego
"Nna haraka sana kama inawezekana iwe saivi" aliongea huku akitoka nje ya benki haraka haraka, tukabaki mi na yule dada " twende au tuache pesa ziende tu mm! Nikamwambia twende ila tuwahi maana nna pesa za watu hapa.....
NJIANI
...yule dada akawa anapiga simu " hallow eeeh hivi rate ya kubadili dollar ni shingapi?..... kama dollar 15000 hivi?...... duh haya haya tunakuja saivi(call ended)
Akanivuta pembeni kidogo na kwa sauti ya chini kusudi yule kaka asisikie ( dogo amesema rate siku ya leo ni kubwa hivyo ni milioni 32,000,000)
Kufika sehem jamaa akagoma kwenda eti anaogopa, twende sisi tukamchekie kwa yule mtu aliokuwa akiwasiliana na yule dada akatoa note moja ya dollar50, nakusema chukieni hii mkanichekie....
Tukakubaliana sawa tukaenda tukiwa mimi na yule dada ambaye hata simfaham wala sijawahi muona mayala!
Tulivyorudi
"Dollar iko sawa" yule dada aliongea, na sijui kwanini kila jambo yule dada alianza kuongea yeye( nahisi yule dada na yule kaka lao moja)
"Sasa mimi ngoja niwape mkanibadilishie mimi naogopa kutembea tembea" yule kaka aliongea na nilishindwa kuelewa anamaanisha nini
"Mimi siwaamini naombeni hela zenu mlizonazo na mimi niwape hizi dollar mkisha badili basi nitawapa hela zenu" yule kaka aliongeza .... hapo nilipata wasi wasi sana kwanini tumwachie pesa zetu.
Binasfi nilikuwa nna milion 1 ambayo ilitakiwa nii-deposit ambayo kwa mda huo niliiweka mfukoni, yule dada alikuwa amebeba begi na alisema ana milioni 5.
Kilicho nichanganya ni kumwachia pesa yule kaka kisha sisi twende kubadili pesa..
to be honest
Pesa sikutoa niligoma kata kata, yule dada alikuwa mstari wa mbele kunibembeleza nitoe pesa nilikataa na kuondoka kasiii....
PENDEKEZO
tufanye kazi, tuachee tamaa matapeli wangenizidi akili wangenitapeli...
Nawasilisha...
ila ulikua unaribia kibraPole na hongera kwa kufuatilia mpaka ukaujua mchezo wote! Naamimi utakuwa umesaidia wengi. Nikishauri tu uitaje hiyo benki ili hata wao watoe tahadhari stahiki kwa wateja wao.Wakuu habari

Duh kama mm ilikuwa mwaka 2013 mliman city crdb mm ilibadilika kidogo mwenye pesa dollar alikuwa mmama kiswahili utadhan kashuka kutoka mtwara Leo mm pia nilifika stage zote kama ww nilikuja stuka jamaa ananiambia tukamchukulie lodge huyu mama...!Wakuu habari

Waoooooo!!!Ni kweli mkuu na siku hiyo nilibeba pesa kidogo sana huwa nabeba mpaka 10m mkuu