Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!

Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!

Haka ka mchezo kameshawaliza wengi. Una Mungu wako ulikuwa umekaribia kupata msiba
Hakika mkuu jinsi ambavyo nilistuka hakika Mungu alinitetea...!
 
Duh Kama Matapeli wa BK Misenyi Bunazi Gulioni :kashozi moja :,Kipindi kile Nafanya kazi huko(Watu walikuwa wanauziwa almasi Feki). Napita
[/QUOTE]
Haya mambo yakuingizwa mjini omba yasikukute yani..!
 
Hao hawakuwa tofauti na wale wanaotembeaga na pambo la dhahabu halafu mwingine anajifanya eti ni mshamba hajui kama ni dhahabu kuna siku kuna walinifata mitaa ya lumum ba Mwanza niliwatia adabu maana niliwakwanyua mitama ya kutosha,watu wa namna hiyo usiwakubalie hata kuwasikiliza.

Lukwafya
 
Dada hii ingekula kwako vibaya sana, inasikitisha na kina mama au dada sasa wamejiingiza kwenye hii michezo michafu, ole wao wakikamatwa uswazi, kule watachomomwa moto tu..
 
Umezingua sana , ungewapiga hiyo $50 mliyo enda kuchenji
Asanteh mkuu kwa kunikumbusha

Ile $50 tulimpa yule aliokuwa aki wasiliana na yule dada tukiwa njiani, kwa maana hiyo tuzirudie zingine zilizobaki tubadilishe kwa zote zikiwa $15000( yalikuwa makubaliano kati ya mbadilisha dollar na yule dada) ila hapa napata wasiwasi kama zile kweli ni dollar au laah! Na yule mbadilisha dollar sio tapeli nae kama wao kweli?

Bado nikitendawili kwangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom