Jinsi nilivyojikuta kwenye Carrier ya umeme. Ni miujiza, nilizaliwa kwa ajili hii

chai ya rangi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
130
Reaction score
403
Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme,

Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe shoti mara kadhaa niliichukulia "for fun" nilichukulia umeme kama sehemu yangu. ( vitu vingine kuhusu relation yangu na umeme siwezi kueleza kwasababu inaweza kuleta madhara ) ila umeme ulikua sehemuyangu ya maisha. kwa vingine watu hawakujua na vingine walivifahamu vizuri

Nilipoendelea na shule nilisoma PCB, advance ila maisha ya masomo yalizidi kunisukuma upande niliokua vizuri kujibia maswali na nikafaulu zqidi kwenye biology zaidi ya physics ( kiufupi kadiri nilivyoenda niliootezana na physics kwa namna fulani kwenye theory na kujikuta kuuacha umeme Na nilisoma shulee ya Tech ) lakini kutokana na kupangiwa kwa matokeo ya form 4 hivyo nikaendelea kuegemea kwenye upande wa biology kwakua nikiona nimeichagua phsics ila nimechagukiwa kwenye biology

Na nilipo maliza ( mambo ni mengi na hayaekezeki kwa pamoja ila nikijua nilizaliwa kwa ajili ya umeme na nikajikuta tena kwenye umeme)

kabla ya hapo tayari nilikua kwa ajili ya umeme mfano ( kila nilipopita karibu na umeme mkubwa nilipiga chafya, niliweza kunusa na kusense sehemu yenye umeme bila kutumia tester wala sensor yeyote, vitu kama hivi vikinifanya kujua kuna wadau wa umeme eneo hili ( etc )
 
Carrier wa umeme upi mkuu, unatutia wasiwasi😂😂😂
 
Sawa fundi mawaya
Au siyo
Screenshot_2026-03-19-22-41-37-995_com.google.android.apps.photos-edit.jpg
 
kabla ya hapo tayari nilikua kwa ajili ya umeme mfano ( kila nilipopita karibu na umeme mkubwa nilipiga chafya, niliweza kunusa na kusense sehemu yenye umeme bila kutumia tester wala sensor yeyote, vitu kama hivi vikinifanya kujua kuna wadau wa umeme eneo hili ( etc )
Sawa mkuu. Transistor & Capacitor zinafanyaje kazi?
 
Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme,

Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe shoti mara kadhaa niliichukulia "for fun" nilichukulia umeme kama sehemu yangu. ( vitu vingine kuhusu relation yangu na umeme siwezi kueleza kwasababu inaweza kuleta madhara ) ila umeme ulikua sehemuyangu ya maisha. kwa vingine watu hawakujua na vingine walivifahamu vizuri

Nilipoendelea na shule nilisoma PCB, advance ila maisha ya masomo yalizidi kunisukuma upande niliokua vizuri kujibia maswali na nikafaulu zqidi kwenye biology zaidi ya physics ( kiufupi kadiri nilivyoenda niliootezana na physics kwa namna fulani kwenye theory na kujikuta kuuacha umeme Na nilisoma shulee ya Tech ) lakini kutokana na kupangiwa kwa matokeo ya form 4 hivyo nikaendelea kuegemea kwenye upande wa biology kwakua nikiona nimeichagua phsics ila nimechagukiwa kwenye biology

Na nilipo maliza ( mambo ni mengi na hayaekezeki kwa pamoja ila nikijua nilizaliwa kwa ajili ya umeme na nikajikuta tena kwenye umeme)

kabla ya hapo tayari nilikua kwa ajili ya umeme mfano ( kila nilipopita karibu na umeme mkubwa nilipiga chafya, niliweza kunusa na kusense sehemu yenye umeme bila kutumia tester wala sensor yeyote, vitu kama hivi vikinifanya kujua kuna wadau wa umeme eneo hili ( etc )
Pole kwa kuchanganyikiwa
 
Haya bana asante sana
 
Carrier ya umeme? Lugha za watu wengine achaneni nazo kama hamzijui vizuri.
 
Umenikumbusha mbali mambo ya current, R na V.
Ohms na kirchohff law. Series na parallel circuit. DC na AC , three and Single phase, transformers, Ups ,induction motor, electric power generators. Wazee wa high Voltage 132Kv
 
Sikutegemea kama leo nitapoteza muda kizembe namna hii

Anyway mleta uzi umenipotezea muda kusoma vitu visivyoeleweka mantik yake ni nini na inamchango gani
 
Back
Top Bottom