Jinsi nilivyo tapeliwa kwenye betting

Jinsi nilivyo tapeliwa kwenye betting

Hata ikiwa na https unaibiwa tu kama ukiwa fala kama huyu jamaa.
nikweli. Umakini unahitajika. Kitendo cha wewe kushinda kila mkeka ulitakiwa kukichukulia kama redflag. Pia kitendo cha kukuta uweke pesa ili utoe pesa iliyopo ulitakiwa iwe redflag,, kitedo cha pesa yako kuongezeka kwa kasi ni redflag nyingine kabla hata ya kuangalia mambo ya usajili
 
Haha eti bilioni 155
 
Lakini vipi hizi co. Za simu hazifanyi uhakiki kabla ya kuruhusu platform zao kutumia kuweka pesa kwenye co ambayo haipo
Hiyo kampun haina plugin za mobile payment.
Wameweka tu hapo kama geresha.

Kuhusu Jinsi gan kadeposit.
atakuwa katumiwa Lipa namba na jamaa ndio akatuma hela.

Na majamaa walivyoona hela. Bas na wao wakaingia kwa app na kwenda kwa akaunti ya jamaa na wakaweka namba za kiasi cha hela husika.

Makampuni ya simu hayahusiki hapo.
 
Du

Aise hapo unajitakia kupigwa co za kubeti zinejaa Kila Kona we udeposit kwa lipa no sijui agent ni kutokuwa makini
 
Wapo na wale wa KUCHATI NA WAZUNGU unalipwa.

Nilisituka walipo omba kianzio cha pesa. nikaishia hapohapo nikagundua ni mataperi
 
Ili utapeliwe kokote, Kwa njia yoyote lazima uwe madhaifu ama Vitu viwili.
1. Uwe Mshamba.
2. Uwe na Tamaa.

Kuzaliwa Magomeni na kukulia Kariakoo hakukuepushi na kutapeliwa, unatapeliwa vizuri tu hata na mtu aliyezaliwa Kazulamimba akaja Dar miaka 2 ilopita, unaweza ukawa Mtoto wa Mjini ukajua hili na ukawa Mshamba kwenye jambo lingine.

Kama wewe sio Mshamba, kama huna Tamaa, utasikia tu Utapeli Kwa Watu wengine.
 
Umeibiwa kwa mfumo wa forex sio betting ya kawaida 'ukute wanatiki hizo mikeka na wanaweka/wanaandika kiasi cha pesa feki'
 
Mimi kuna jamaa nar alinichek Whatsapp ananipa correct score alafu ananionesha mikeka yake iliyoshinda ya Betapexro😃 bado kidogo niingie kingi,kule first deposit ni 150k, ah hii ilikuwa sign moja wapo kuwa hawapo legit
 
Walete kati hapa hakuna haja ya kuwaita kina taivina waje kukusaidia😂 wewe ni kengee
 
Hiyo kampun haina plugin za mobile payment.
Wameweka tu hapo kama geresha.

Kuhusu Jinsi gan kadeposit.
atakuwa katumiwa Lipa namba na jamaa ndio akatuma hela.

Na majamaa walivyoona hela. Bas na wao wakaingia kwa app na kwenda kwa akaunti ya jamaa na wakaweka namba za kiasi cha hela husika.

Makampuni ya simu hayahusiki hapo.
Hapana ,hiyo kampuni ukitaka kudiposit ina kuletea Pop Up kama makampuni mengine,yaani wewe ni kuingiza password tu.
 
Back
Top Bottom