Hawa ndiyo matapeli maarufu kwenye mitandao ya kijamii.Kuwa nao makini

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,426
Juzi nitoa ka elimu kidogo juu ya utapli leo nataka tufumbuane macho kuhusu aina ya utapeli inayofanywa mitandaoni pamoja na wahusika (watu ) wanaofanya utapeli huo.


#1_AINA_YA_UTAPELI
A: Whatsapp group :- kuna hawa wanaoibuka na kudai weka namba nikuunge kwenye group la whasapp au huja na hoja za kwamba wasiliana na namba hii(___) ikuunge kwenye magroup ya whatsapp ya wana ndoa , waaichana warembo , mambo ya kikubwa , watoto wa kiarabu nakadharika. Hawa wanachokifanya ni pale unapotaka kuijiunga kwenye hayo magroup kwa maana ya kwamba utachukua namba utawatafuta , ukishamtafuta atakuomba kiingilio cha kwenye group au pesa ya vocha ili mengine yaendelee OGOPA SANA KAA MBALI NA WATU WA AINA HII
Utapeli huu unafanywa na watu wafuatao

I: AISHA UTAMU
NAMBA INAYOTUMIKA SANA NI +255766298414 au mpiga debe wake anatumia jina la Davido Mchiz Bongo
II:- AISHA JUMA huyu anatumia namba hii
+255764476180


B:- AINA YA PILI NI HAWA WANAOTAFUTA WAUME WA KUWAOA

Huyu anachokifanya anatafuta picha ya mdada mrembo japo sina uhakika kama yeye pia ni mdada au ni mkaka . Anapost post anajieleza majina yake , umri na mahali anapoishi na anadai anataka mume umri kuanzia miaka 35 wengine hadi miaka 55 . Umri wengi wako vizuri kimaisha na wengi ni rahisi kushawishika hasa wenye umri wenye miaka 50-55 hili ni swali la kujiuliza msichana mdogo vile ahitaji mume wa miaka 55.
Huyu ataweka namba yake ya simu kwa madai aliyetayari amtafute.
Ukishamtafuta tu mara nyingi kwa wale wanaopenda ku-text , pale pale hata kama ulimtumia text inasema Mambo yeye anajibu na kusema "naitwa aisha nipo tayari kuwa na wewe ila uwe mkweli na mwenye mapenzi ya kweli kwa sasa natumia simu ya rafiki yangu , simu yangu mbovu naomba unitumie 1000 Mpesa niunge kifurushi tuongee vizuri kwa uhuru , sio vizuri kutimia simu ya watu.
OGOPA SANA
TAPELI anayetumia hii staili anatumia facebook kwa jina la AISHA AISHA.
NAMBA YAKE YA SIMU +255712800211


C:- AINA YA TATU NI HII
Mtu anakuomba urafiki facebook ukishakubali anakutumia text kwenye Messenger "My dear huwa sipatikani sana hapa kama utakuwa na muda nitafute WhatsApp" anaweka namba yake pale , ukimfuata whatsapp anakutumia video za mitego tego huku akijiongelesha kimahaba mwisho wa siku point yake inakuwa kwenye vocha , usipomtumia anakublock na anakuita mbahili.
Anayefanya utapeli huu anajulikana kwa majina ya Oliver Mahenge anatumia namba 0656 478 121


D:- HUU MWINGINE NAO
MTU anakutext Messenger na anakuambia i'm from facebook contact agent , i'm contacting you for your WINNINGS(Kwamba mimi ni wakala kutoka facebook ninawasiliana na wewe mda huu kukujulisha kuhusi ushindi wako ) sasa ukimuuliza ushindi gani anakuambia "you've won $50,000,000 from Facebook(umejishindia kiasi cha dollar za kimarekani ,milioni hamsini) sasa ukimuuliza nimeahinda vipi anaanza story mara oooh hakuna wakala wety yeyote aliyekwisha kukutafuta n.k ukimkazia anaanza oooh samahani simu yangu alikuwa anatumia binamu wangu kwa hoyo kakutumia hizo text kimakosa.
Mtaalamu wa hii mambo anajulikana kwa jina la Lily Fisher ni mtumiaji wa facebook kutoka India.


E:-utapeli mwingine unakuja kasi ni huu
Wawenzangu na mimi wazee wa kuweka mikeka (kubeti) kama tunavyofahamu betting ni bahati nasibu jamani kuna kupata au kukosa ni jinsi tu bahati yako ilivyo + nyota tumeona watu wakijishindia mamilioni ya pesa kwenye kubeti lakini pia wimbi kubwa la watu wamepigwa pesa nyingi kwenye kubeti. Kuna kundi la matapeli wanajiita CORRECT/SURE ODDS hawa wana hizi game wanaziita fixed matches (maana yake ni gemu ambayo matokeo yanafahamika hata kabla ya gemu yenyewe kuanza) zamani ndo kuliwako na haya mambo , wachezaji walikuwa wakihongwa haswa ma goalkeepers ili watu waliobashiri mambo yaende sawa lakini siku hizi kumekuwa na sheria zinazowabana sana wachezaji pamoja na marefa liiiz wakigundulika walifanya mchezo mchafu na kikubwa zaidi hawaruhusiwi kubeti. Tapeli anaibuka na kusema yeye ana fixed matches walianza wanaijelia ikafika kenya naona hadi Bongo siku hizi wapo wengi tuu! Swaki la kujiuliza kama kweli ana fixed match kwa nini aziuze na asiweke pesa ndefu yeye huyohuyo akabet ili apige mipesa???

Pili kama kweli wanazo fixed match kila siku kwa nini wasitoe kwa free (BURE) hata kwa muda wa siku tatu ili watu wawa amini na waweze kuwa wateja wao kweli maana huu ni mchezo wa kubahatisha ni ngumu sana mtu kukuamini kizembezembe tu.
Hao ni matapeli na ni wa kuogopa sana japo wapo wanaotoa fixed match kweli zenye uhakika wa 80% win lakini huwa hawajitangazi kama wanavyofanya hawa.
Matapeli wanaofanya hii wapo wengi sana ila nitawaoredhesha wachache hapa
Kuna huyu #Chris_Benson , kuna huyu #Ozilu_Abuu_Sanchez, kuna huyu #John_Lankram , kuna huyu #Shaban_Salehe namba yake ni +255719451117 yupo huyu #Kaluta_Almasi
Tukiacha mitandaoni (kwenye social medias )


Kuna utapelii huu amabao nao upo kwa kasi kweli#
Kwa mawakala wa MPESA nadhani mshawahi kukumbwa na hili Mtu anakuja , anakuambia anahitaji kuweka pesa, unashika simu yako ya kazi unaanza kufanya muamala mda huo hajakupatia pesa ukisha maliza kutuma anakuambia sijapokea sms kumbe kakutajia namba ya mtu mwingine tofauti na anayotumia bado unahangaika pale yeye mdogo mdogo anaanza kuondoka kama anaongea na simu kumbe ndo anasepa hivyo, pokea pesa kwanza ndo uanze kutima pesa kwa mtu
Au ile Mtu anakuja anataka kutoa pesa unamwambia toa ghfla unapokea sms imethibitishwa , unatoa kiasi unampatia jamaa pale pale anatokea mwingine anataka huduma unaanza kumhudumia kumbe ni mwenzie , yule wa mwanzo anaondoka , ukija kukaa kupiga hesabu pesa pungufu ukianza kupitia miamala unakuta kumbe ile SMS haikuwa ya mpesa ulifowadiwa lakini hukijua kwa mda ule...hakikisha kwanza sms imetoka mpesa kweli hii maana huwa zinakuja na jina.
#Zipo_aina_nyingi_za_utapeli_kwa_leo_naishia
 
Juzi nitoa ka elimu kidogo juu ya utapli leo nataka tufumbuane macho kuhusu aina ya utapeli inayofanywa mitandaoni pamoja na wahusika (watu ) wanaofanya utapeli #HUO
#1_AINA_YA_UTAPELI
A: whatsapp group :- kuna hawa wanaoibuka na kudai weka namba nikuunge kwenye group la whasapp au huja na hoja za kwamba wasiliana na namba hii(___) ikuunge kwenye magroup ya whatsapp ya wana ndoa , waaichana warembo , mambo ya kikubwa , watoto wa kiarabu nakadharika. Hawa wanachokifanya ni pale unapotaka kuijiunga kwenye hayo magroup kwa maana ya kwamba utachukua namba utawatafuta , ukishamtafuta atakuomba kiingilio cha kwenye group au pesa ya vocha ili mengine yaendelee OGOPA SANA KAA MBALI NA WATU WA AINA HII
Utapeli huu unafanywa na watu wafuatao
I: AISHA UTAMU NA NAMBA INAYOTUMIKA SANA NI +255766298414 au mpiga debe wake anatumia jina la Davido Mchiz Bongo
II:- AISHA JUMA huyu anatumia namba hii
+255764476180
B:- AINA YA PILI NI HAWA WANAOTAFUTA WAUME WA KUWAOA
Huyu anachokifanya anatafuta picha ya mdada mrembo japo sina uhakika kama yeye pia ni mdada au ni mkaka . Anapost post anajieleza majina yake , umri na mahali anapoishi na anadai anataka mume umri kuanzia miaka 35 wengine hadi miaka 55 . Umri wengi wako vizuri kimaisha na wengi ni rahisi kushawishika hasa wenye umri wenye miaka 50-55 hili ni swali la kujiuliza msichana mdogo vile ahitaji mume wa miaka 55. Huyu ataweka namba yake ya simu kwa madai aliyetayari amatafute.
Ukishamtafuta tu mara nyingi kwa wale wanaopenda ku-text , pale pale hata kama ulimtumia text inasema Mambo yeye anajibu na kusema "naitwa aisha nipo tayari kuwa na wewe ila uwe mkweli na mwenye mapenzi ya kweli kwa sasa natumia simu ya rafiki yangu , simu yangu mbovu naomba unitumie 1000 mpesa niunge kifurushi tuongee vizuri kwa uhuru , sio vizuri kutimia simu ya watu. OGOPA SANA
TAPELI anayetumia hii staili anatumia facebook kwa jina la AISHA AISHA.
NAMBA YAKE YA SIMU +255712800211
C:- AINA YA TATU NI HII mtu anakuomba urafiki facebook ukishakubali ankutumia text kwenye messenger "My dear huwa sipatikani sana hapa kama utakuwa na mda nitafute whatsapp" anaweka namba yake pale , ukimfuata whatsapp anakutumia video za mitego tego huku akijiongelesha kimahaba mwisho wa siku point yake inakuwa kwenye vocha , usipomtumia anakublock na anakuita mbahili.
Anayefanya utapeli huu anajulikana kwa majina ya Oliver Mahenge anatumia namba 0656 478 121
D:- HUU MWINGINE NAO MTU anakutext messenger na anakuambia i'm from facebook contact agent , i'm contacting you for your WINNINGS(Kwamba mimi ni wakala kutoka facebook ninawasiliana na wewe mda huu kukujulisha kuhusi ushindi wako ) sasa ukimuuliza ushindi gani anakuambia "you've won $50,000,000 from Facebook(umejishindia kiasi cha dollar za kimarekani ,milioni hamsini) sasa ukimuuliza nimeahinda vipi anaanza story mara oooh hakuna wakala wety yeyote aliyekwisha kukutafuta n.k ukimkazia anaanza oooh samahani simu yangu alikuwa anatumia binamu wangu kwa hoyo kakutumia hizo text kimakosa.
Mtaalamu wa hii mambo anajulikana kwa jina la Lily Fisher ni mtumiaji wa facebook kutoka India
E:-utapeli mwingine unakuja kasi ni huu wa wenzangu na mimi wazee wa kuweka mikeka (kubeti) kama tunavyofahamu betting ni bahati nasibu jamani kuna kupata au kukosa ni jinsi tu bahati yako ilivyo + nyota tumeona watu wakijishindia mamilioni ya pesa kwenye kubeti lakini pia wimbi kubwa la watu wamepigwa pesa nyingi kwenye kubeti. Kuna kundi la matapeli wanajiita CORRECT/SURE ODDS hawa wana hizi game wanaziita fixed matches (maana yake ni gemu ambayo matokeo yanafahamika hata kabla ya gemu yenyewe kuanza) zamani ndo kuliwako na haya mambo , wachezaji walikuwa wakihongwa haswa ma goalkeepers ili watu waliobashiri mambo yaende sawa lakini siku hizi kumekuwa na sheria zinazowabana sana wachezaji pamoja na marefa liiiz wakigundulika walifanya mchezo mchafu na kikubwa zaidi hawaruhusiwi kubeti. Tapeli anaibuka na kusema yeye ana fixed matches walianza wanaijelia ikafika kenya naona hadi Bongo siku hizi wapo wengi tuu! Swaki la kujiuliza kama kweli ana fixed match kwa nini aziuze na asiweke pesa ndefu yeye huyohuyo akabet ili apige mipesa???
Pili kama kweli wanazo fixed match kila siku kwa nini wasitoe kwa free (BURE) hata kwa muda wa siku tatu ili watu wawa amini na waweze kuwa wateja wao kweli maana huu ni mchezo wa kubahatisha ni ngumu sana mtu kukuamini kizembezembe tu.
Hao ni matapeli na ni wa kuogopa sana japo wapo wanaotoa fixed match kweli zenye uhakika wa 80% win lakini huwa hawajitangazi kama wanavyofanya hawa.
Matapeli wanaofanya hii wapo wengi sana ila nitawaoredhesha wachache hapa
Kuna huyu #Chris_Benson , kuna huyu #Ozilu_Abuu_Sanchez, kuna huyu #John_Lankram , kuna huyu #Shaban_Salehe namba yake ni +255719451117 yupo huyu #Kaluta_Almasi
Tukiacha mitandaoni (kwenye social medias )
Kuna utapelii huu amabao nao upo kwa kasi kweli#kwa mawakala wa MPESA nadhani mshawahi kukumbwa na hili Mtu anakuja , anakuambia anahitaji kuweka pesa, unashika simu yako ya kazi unaanza kufanya muamala mda huo hajakupatia pesa ukisha maliza kutuma anakuambia sijapokea sms kumbe kakutajia namba ya mtu mwingine tofauti na anayotumia bado unahangaika pale yeye mdogo mdogo anaanza kuondoka kama anaongea na simu kumbe ndo anasepa hivyo, pokea pesa kwanza ndo uanze kutima pesa kwa mtu
Au ile Mtu anakuja anataka kutoa pesa unamwambia toa ghfla unapokea sms imethibitishwa , unatoa kiasi unampatia jamaa pale pale anatokea mwingine anataka huduma unaanza kumhudumia kumbe ni mwenzie , yule wa mwanzo anaondoka , ukija kukaa kupiga hesabu pesa pungufu ukianza kupitia miamala unakuta kumbe ile SMS haikuwa ya mpesa ulifowadiwa lakini hukijua kwa mda ule...hakikisha kwanza sms imetoka mpesa kweli hii maana huwa zinakuja na jina.
#Zipo_aina_nyingi_za_utapeli_kwa_leo_naishia
Aisha
 
Utapeli wa HR manager feki mbona sijauona. Kuna raia wamepigwa Tsh.80k juzi juzi hapo. Jamaa anajidai ni HR wa fly 540 ambayo ilikuwa kampuni ya ndege ambayo sasa imekua fastjet. Anakupeni ajira ya mshahara wa laki 8 take home hapo usafiri na nyumba mmepewa na ofisi. Kisha anaanza stori za kushona sare za ofisi eti mtume hela ya mashono, mara baadae mtume hela ya vikoti vya reflector n.k

Ukija sanuka kabla huja report kazini ushapigwa kama 160k. Hapo kampuni yenyewe ilishafilisiwa hai exist tena. So unakuwa ushapigwa.
 
Hujaandika chochote brother.

Hapo hakuna utapeli, jiulize nini maana ya utapeli halafu uje uandike upya.

Mtu akikutumia picha za mitego then akakuomba vocha ukamtumia, anakuwa amekutapeli kivipi?

Kwani makubaliano yenu ni yapi zaidi ya ombi lake la vocha ambalo umeliridhia mwenyewe kwa hiali?

Utapeli ni pale unapokubali kufanya transaction fulani kwa ajili ya kupata kitu fulani ambacho umekiona au kuamini na baada ya malipo usikipate na ukarukwa kabisa na mpokeaji.

Au ukalipa deni kwa mtu mwingine aliejitokeza kukudai ukidhani ndo yule anakudai na mmpenga umlipe ndani ya wakati huo.

Ulichoandika huwatokea wapuuzi tu na huwa hawatapeliwi coz hata kisheria hamna kesi.
 
Hujaandika chochote brother.

Hapo hakuna utapeli, jiulize nini maana ya utapeli halafu uje uandike upya.

Mtu akikutumia picha za mitego then akakuomba vocha ukamtumia, anakuwa amekutapeli kivipi?

Kwani makubaliano yenu ni yapi zaidi ya ombi lake la vocha ambalo umeliridhia mwenyewe kwa hiali?

Utapeli ni pale unapokubali kufanya transaction fulani kwa ajili ya kupata kitu fulani ambacho umekiona au kuamini na baada ya malipo usikipate na ukarukwa kabisa na mpokeaji.

Au ukalipa deni kwa mtu mwingine aliejitokeza kukudai ukidhani ndo yule anakudai na mmpenga umlipe ndani ya wakati huo.

Ulichoandika huwatokea wapuuzi tu na huwa hawatapeliwi coz hata kisheria hamna kesi.
Ili mradi ionekane umebishana na mleta mada?
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom