Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,627
Jamii haijawasaidia inabidi watumie mitandao kuonyesha maumivu yao. Zamani mambo kama haya watoto wanaitwa wanakanywa na kuelekezwa na wakubwa. Siku hizi wazazi wanaishi tu wapo wapo wanaacha vijana na matatizo yao badala ya kuwapa sapoti.Hawa wote wawili ni wapumbavu. Hizi interviews zote zimerekodiwa na zitadumu milele. Watoto wao wataandamwa na maneno na matendo ya wazazi wao, na watakuja kuangalia na kusikia upumbavu wao milele.
Sent using Jamii Forums mobile app