Kwa bahati mbaya kwa upande wangu simfahamu hata mmoja hapa zaidi ya kupata habari mbalimbali na kucheka comments za watuNikikuta uzi sio interesting namtafuta ninayemfahamu mitaa hiyo namsalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Simaanishi ninayemfahamu personally namaanisha yule niliye na mazoea naeKwa bahati mbaya kwa upande wangu simfahamu hata mmoja hapa zaidi ya kupata habari mbalimbali na kucheka comments za watu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kumbe. Umesahau pia una like comments zote[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahhaha hii staili lengo lake sio hilo unalozani,Sijui kama wapo ila hiyo staili yako ndio imenifanya niulize hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najiuliza kwa nini hukanyagi kwenye nyuzi zangu, kumbe....Mimi huwa nafungua tuu nauangalia halafu naondoka (sisomi).
Kuna nyuzi ukiona sura yake hauvutii hata kusoma.
Halafu kuna watu wakianzishaga nyuzi hata sihangaikagi kuangalia wameandika nini huwa na assume lazima zitakuwa pumba[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hata nikifungua huji kukomenti si bora nisifungue[emoji3][emoji3]Hahahahaha hivi unafunguaga nyuzi kweli?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nimecheka sana.....
Mimi Sijambo. ...sijui wewe. ?
Umenipoteza......Bado uko kijana namnahiyo...
bugs
Kama mimi nilivyofanya.Nikikuta uzi sio interesting namtafuta ninayemfahamu mitaa hiyo namsalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na hali yako mwenza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]