Jinsi navyosoma nyuzi za JF

Jinsi navyosoma nyuzi za JF

Mimi sifungui uzi kama kichwa cha habari hakijanivutia na nikishaufungua natiririka mpaka mwisho.
 
Most of the time nasoma title tu... ikiwa hot ndo somehow naperuz page mbiltatu.




cc Smart911
 
Most of the time nasoma title tu... ikiwa hot ya kichokozi au kimbea mbea nasoma page after page ikiwa ya kawaida naperuz page mbiltatu. ikiwa ya naehisi ni adui yangu, siasa na kwingineko nisipopapendaga nalike nilipotagiwa na Smart911 tu if necessary nakoment mara chache sana
 
*naangalia title(nikiona ya hovyo sifungui),

*naangalia ID ya poster, then na compare ID na TITLE, hapa nitapata jibu kama nisome au niifunge tu.

*naangalia urefu ya post, halafu nalinganisha na uzito wa Title. Kama ndefu na title haieleweki nafunga.

*nikisoma post, naangalia muda ilipostiwa, naangalia na idadi ya comments, nasoma comments 3 za juu, na 2 za chini, halafu naweka yangu.

*kama naona uvivu kusoma uzi mrefu, huna nasoma comments kwanza, response za wadau zitaonesha kana nami niisome au niache.

*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nafungua tuu nauangalia halafu naondoka (sisomi).
Kuna nyuzi ukiona sura yake hauvutii hata kusoma.
Halafu kuna watu wakianzishaga nyuzi hata sihangaikagi kuangalia wameandika nini huwa na assume lazima zitakuwa pumba[emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Cute mbona wewe huanzishaji nyuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom