Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,430
Habari wanajamii?
Leo nimeamua ku share nanyi baadhi ya mambo kuhusu huu mtandao wa kijamii (youtube)!!
Pamoja na yooote niliyosoma chuo, youtube imekua msaada mkubwa sana kwangu na imeniwezesha kujifunza mambo mengi ya kitaaluma, biashara na maisha!!
Haya ni baadhi ya niliyo jifunza kupitia youtube...
1. Kwa kufwatikia chanels kama TED Talks, pickuplime, Valuetainment, Kelvin David nimejifunza mengi kuhusu ujasiramali, comminication na maisha kwa ujumla!
2. Excel (kwa undani zaidi na imekua msaada mkubwa sana kwenye kazi yangu)
3. Forex (Hii imenisaidia sana kukuza kipato changu).
4. Biashara na jinsi ya ku deal na wateja.
5. Software mbali mbali ninazotumia kwenye kazi yangu ambazo chuoni hazifundishwi.
6. Social media marketing.
7. Web development and computer programming (Hii itanisaidia sana kwenye malengo yangu ya baadae).
8. Kupata "exposure" ya nini kinaendelea duniani!
Na mengine meengi ambayo nikikwama basi msaada wangu wa kwanza ni youtube!!
Wenzetu hasa Ulaya. Amerika na Asia wanatumia sana youtube kujifunza na kufanya kazi za freelance ili kukuza vipato vyao!!
Youtube ina kila ujuzi uutakao, kuanzia sheria, kilimo mpaka biashara, ni wewe tu aumue nini unataka kujifunza!!
Je wewe umenufaika nini kupitia youtube?
Nawatakia maandalizi mema ya wiki ijayo!!