Jinsi mtandao wa YOUTUBE umenisaidia kuboresha maisha yangu!

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,430
Habari wanajamii?

Leo nimeamua ku share nanyi baadhi ya mambo kuhusu huu mtandao wa kijamii (youtube)!!

Pamoja na yooote niliyosoma chuo, youtube imekua msaada mkubwa sana kwangu na imeniwezesha kujifunza mambo mengi ya kitaaluma, biashara na maisha!!

Haya ni baadhi ya niliyo jifunza kupitia youtube...

1. Kwa kufwatikia chanels kama TED Talks, pickuplime, Valuetainment, Kelvin David nimejifunza mengi kuhusu ujasiramali, comminication na maisha kwa ujumla!

2. Excel (kwa undani zaidi na imekua msaada mkubwa sana kwenye kazi yangu)

3. Forex (Hii imenisaidia sana kukuza kipato changu).

4. Biashara na jinsi ya ku deal na wateja.

5. Software mbali mbali ninazotumia kwenye kazi yangu ambazo chuoni hazifundishwi.

6. Social media marketing.

7. Web development and computer programming (Hii itanisaidia sana kwenye malengo yangu ya baadae).

8. Kupata "exposure" ya nini kinaendelea duniani!

Na mengine meengi ambayo nikikwama basi msaada wangu wa kwanza ni youtube!!

Wenzetu hasa Ulaya. Amerika na Asia wanatumia sana youtube kujifunza na kufanya kazi za freelance ili kukuza vipato vyao!!

Youtube ina kila ujuzi uutakao, kuanzia sheria, kilimo mpaka biashara, ni wewe tu aumue nini unataka kujifunza!!

Je wewe umenufaika nini kupitia youtube?

Nawatakia maandalizi mema ya wiki ijayo!!
 
Ni kweli, YouTube ni mtandao wenye kila aina ya ujuzi. Ni mtu tu kutumia muda wake kuchota maarifa hayo. Personally nimefaidika sana na mtandao huo kwenye kusolve matatizo yangu ya simu.
 
siyo youtube tu kitu chochote ukiwa na nidhamu ya kimtandao utajifunza mengi . mfano hata humu Jf unapata Darasa la kiroho kutoka kwa
mshana Jr kila kitu ni vile unavyokichukulia.
 
YouTube inatabia mbaya Sana unaweza kufungua kwa lengo la kuangalia tu kilichojiri Leo unajikuta unaganda 2hrs hapo.

Mara Sijui hekaheka ya Gea habibu, Mara diamond Sijui anasherehe gani huko, Mara ujakaa sawa Mara hiko ukija stuka ni SMS ya Tigo unatahadharishwa umebakiwa na mb50.....!
 
Ama kweli youtube.... Vichwa vya habari na maudhui ni tofauti kabisa lengo ni kupata watazamaji wengi ktk post.....
 
Wengine tunaitumia kuangalia AMBER LUTHI TU NA NANI KATUMBURIWA
Habari wanajamii?

Leo nimeamua ku share nanyi baadhi ya mambo kuhusu huu mtandao wa kijamii (youtube)!!

Pamoja na yooote niliyosoma chuo, youtube imekua msaada mkubwa sana kwangu na imeniwezesha kujifunza mambo mengi ya kitaaluma, biashara na maisha!!

Haya ni baadhi ya niliyo jifunza kupitia youtube...

1. Kwa kufwatikia chanels kama TED Talks, pickuplime, Valuetainment, Kelvin David nimejifunza mengi kuhusu ujasiramali, comminication na maisha kwa ujumla!

2. Excel (kwa undani zaidi na imekua msaada mkubwa sana kwenye kazi yangu)

3. Forex (Hii imenisaidia sana kukuza kipato changu).

4. Biashara na jinsi ya ku deal na wateja.

5. Software mbali mbali ninazotumia kwenye kazi yangu ambazo chuoni hazifundishwi.

6. Social media marketing.

7. Web development and computer programming (Hii itanisaidia sana kwenye malengo yangu ya baadae).

8. Kupata "exposure" ya nini kinaendelea duniani!

Na mengine meengi ambayo nikikwama basi msaada wangu wa kwanza ni youtube!!

Wenzetu hasa Ulaya. Amerika na Asia wanatumia sana youtube kujifunza na kufanya kazi za freelance ili kukuza vipato vyao!!

Youtube ina kila ujuzi uutakao, kuanzia sheria, kilimo mpaka biashara, ni wewe tu aumue nini unataka kujifunza!!

Je wewe umenufaika nini kupitia youtube?

Nawatakia maandalizi mema ya wiki ijayo!!
 
YouTube inatabia mbaya Sana unaweza kufungua kwa lengo la kuangalia tu kilichojiri Leo unajikuta unaganda 2hrs hapo.

Mara Sijui hekaheka ya Gea habibu, Mara diamond Sijui anasherehe gani huko, Mara ujakaa sawa Mara hiko ukija stuka ni SMS ya Tigo unatahadharishwa umebakiwa na mb50.....!
Aisee
 
kwa youtube sitii neno la ziada, nikikosa ufumbuzi wa jambo tuu hasa masuala ya sofware na electronics nazama kulee, nikitoka nachekaa
 
Youtube salute sana aisee kuna waalimu wa vitu vyote kule huwezi kosa elimu unayoihitaji hasa kwa wale wavivu wa kusoma ila wanapenda vya kusimuliwa au action kule ni mahala sahihi sana kwa kushibisha ubongo wako
 
Siku Moja tulikuwa a tunabadili bearing flan kwenye Gari, tumegonga nyundo were bila mafanikio, baadaye nikapata wazo la kuangalia YouTube jinsi ya kuitoa, dakika mbili hazikupita tukafanikiwa

YouTube ukiitumia vizuri Ina msaada wa karibu kila procedure.
 
Back
Top Bottom