Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.
Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.
Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.
Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

pole sana mzee.
Lakini pia daraja la salenda lina mauzauza yake.
Si ndio hapohapo watu wanapoota manyoya?
dah kweli we PHD nimecheka mpaka bas.......!!!!!!pole sana mzee ni vema ukawa unatumia dawa ya mbu ya kuspry kama doom au rungu badala ya kujipulizia parfume.
pole sana mzee ni vema ukawa unatumia dawa ya mbu ya kuspry kama doom au rungu badala ya kujipulizia parfume.
dalili ya kwanza ni kwamba huvai chupi wewe,Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.
Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.
Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.
Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.
hiyo ni ofisi ya serikali au binafsi? Nahisi ni ya serikali japo sina uhakika.
dalili ya kwanza ni kwamba huvai chupi wewe,
ishu ya pili ni kwamba hizo furmigation ni gelesha tu kwani wanakuja na povu la sabuni na wanaweka dawa kiduchu kiasi cha kuwalevya wadudu ionekane wanahangaikia kifo lakini hakuna kitu.
Ishu ya tatu ni kwamba next time hakikisha umefunga seat-belt while you drive. huwezi jua kuwa nilikuona unavyohangaika na kuparamia kale kamsingi. pole sana