Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

Yaani super star mpenzi aksante sana kwa kunikamilishia siku yangu yaani nimechake sana hasa hicho kipengele cha watu ikiwemo police kuja na kukukuta umeshikilia ikulu. Pole lakini ungewaambia umepatwa na misuli imekaza

Afadhali ucheke kwa vile niko hai. Ningekufa ungezimia. kwa sasa nimekuwa mwangalifu hasa nitokapo ofisini

Msuli unakushikaje wakati unadraivu? Watahisi jamaa alikuwa anajieksipress mwenyewe:hand:

Msuli unakamataga hasa kitandani ukiwa umelala.........

Imenibidi niprint hii mada nitakwenda soma nyumbani--- nimekuwa teja

Mpelekee na mheshimiwa asije siku akavua nguo njiani kwa mende. Mende ni wabaya sana

Natamani kufahamu hiyo ofisi yako ilivyo au iko kwenye lile jengo bovu la USHIRIKA Pale Lumumba?

Ni jeno la ushirika gorofa ya 4
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Dah! nimecheka ile mbaya kwi kwi kwi mtu mzima karibu upoteze maisha kisa MENDE! kwi kwi kwi kwi. Naimagine jinsi ulimvyotesa baada ya kutaka kuzitia damage nyeti zako kwi kwi kwi kwi. Imagine unaenda kwa dame wako halafu mnaanza maluv davi anaingiza mkono kwenye nyeti ili akuchezee anaishia kukamata mende kwi kwi kwi kwi anaweza kuingia mitini kimoja na kwenda kutamka kwa watu yule jamaa ni mchawi anaweka mende kwenye nyeti zake kwi kwi kwi DAH!
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Mkubwa naomba kujua mazingira ya hiyo ofisi yako mnajihusisha na nini!
 
Da umenchekesha mpaka watu wananishangaa! Mkuu mwanzoni nlidhani kuwa waziri membe,alanko ndo nafika serender bridge saivi nkafungua thread yako. Pole mkuu!
 
dalili ya kwanza ni kwamba huvai chupi wewe,
ishu ya pili ni kwamba hizo furmigation ni gelesha tu kwani wanakuja na povu la sabuni na wanaweka dawa kiduchu kiasi cha kuwalevya wadudu ionekane wanahangaikia kifo lakini hakuna kitu.

Ishu ya tatu ni kwamba next time hakikisha umefunga seat-belt while you drive. huwezi jua kuwa nilikuona unavyohangaika na kuparamia kale kamsingi. pole sana

Hiyo kwenye red nimeipenda!
 
Pole sana mkuu. Nashukuru Mungu hukupata ajali ambayo ingesababisha khabri nyingine.

Barikiwa na Yesu Kristo
 
Mimi nilipata mkasa mwingine wa mende nilipo kuwa najisaidia,

Unajua wale mende wanao ruka wanakuwa kama vile wamevyetukiwa wakipata sana joto, mende huyo alikuwa anaruka huku ananilenga mimi hapo ndipo vita vikaanza chooni baina yangu na mende, nikatupa ngumi ili nimzuie nikamkosa na kupiga sinki kwa nguvu sana mpaka nikaumia kucha, mende huyo akatua kwenye shingo yangu nikamkumnuta bado akawa kang'ang'ania tu huku anatembea shingoni nikapata tabu sana kumtoa.
 
Mh huyo mende wako alikuwa hatari zaidi :israel::israel::israel:
 
Asanteni kwa pole na nyie muwe makini wandugu imagine ningekuwa kwenye daladala.....

yaani wewe unazidi tu kunichekesha, naona kamavile uimuvuzishe hii sled kwenda jokes. Pole sana ndugu yangu maana ni true story
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

kijana wa kichaga uko wapi? We miss u mjengoni, ghorofa ya tatu
 
Back
Top Bottom