Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

jamani mbavu zangu inauma kwa kucheka ila pole mkuu sipati picha mkuu huyu inaonyesha alikuwa ndani ya gari na shukuru ulikuwa ndani ya gari yako sipati picha ungekuwa kwenye public transport wee
 
Ma telephone upo? Nashukuru nipo salama mkuu
 
Ujitahidi kuvaa chupi mende hawwezi penya , napia kama una funguz huko inawezekana mende vutiwa na zile maji maji akaamua kuzisogelea.
 
Tatizo sio ofisi tu! Na sisi pia tunachangia, tunavipitia vidada vifanya usafi kisha tunashindwa kuvi-control matokeo yake havifanyi the need ful, then outcome zake ni kama hizo.

But all in all, Hongera sana mzee, kwani Mungu amekunusuru. Sasa badala ya kupost thread 2 ndani ya JF unatakiwa upost 3 ambazo ni very useful ili kusaidia watu. Hii ni kama sadaka kwa kunusurika. Thanx
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Mie nina wasiwasi na T 726 AQB hebu chekini avatar yake kwanza muone ukilinganisha na hii ishu hapo up stairs. nimeshindwa kui weka hapa mtu anisaidie jamanii
 
uhhhh yaani nimeishia kucheka tu....ahahhahaha mpaka machozi hapa, tumbo laniuma duh!!! haya pole lakini
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Pole sana ndugu na laiti ungepoteza uhai kam mimi ningelikuwa hapo ulipo ingebidi niwashitaki hao ( famigation ) Dawa wanazo kuja nazo hapo kazini kwako kuwa uwa hao Mende ni dawa feki kama huku ulaya ingebidi wakulipe hiyo kampuni ya famigation basi

huko kwetu bongo kumeoza namna hiyo hata dawa za kuuwa wadudu mende hazifanyi kazi? ama kweli bongo imekwisha jamani huku nilipo kuna dawa ukiwapiga hao Mende wanakufa na pengine huwezi hata kuwaona tena nafikria hizi dawa za huku bora nizilete

huko bongo zitaweza kusaidia. Mpaka hii leo Serikali imeshindwa kuondosha tatizo la Mbu wanaoleta Malaria huko nyumbani kweli kutakuwa dawa nzuri za kuweza kuwauwa Mende? Poleni ndugu zangu Wabongo.
 
Hii sredi nimejikuta sina cha kuchangia zaidi ya kucheka na kucheka na kucheeeeeeeka mpaka basi:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

we acha tu yaani sina mbavu leo.....duh!!! hata katoto kangu kashangaa leo mama kulikoni.......weeeeeee
 
Pole sana mkuu, mie ningezimia kwa jinsi navyoogopa mende
 
Nilikuwa nimenuna lakini baada ya kusoma hii sredi imenibidi nicheke bila kikomo. Pole sana super star. maana imenikumbusha siku moja nilikuwa nimekaa na dada mmoja kwenye basi mara akanza kuwashwa hajui nini kinamwasha; mara ajikune kwenye kwapa, mara mgongoni mara kwenye matiti, kidogokidogo muwasho unazidi hapa na pale yule dada maji yalizidi unga mara uwi jamani naumia, akavua t-shirt ndani ya basi akabaki na bra na kuangalia nini hicho kimemkosesha amani kuja kucheki si ni sungusungu wale wadogo weusi alikuwa kamwingili. tulibakia hatuna mbavu kwa kicheko na kumuhurumia yule dada.
 
Yaani super star mpenzi aksante sana kwa kunikamilishia siku yangu yaani nimechake sana hasa hicho kipengele cha watu ikiwemo police kuja na kukukuta umeshikilia ikulu. Pole lakini ungewaambia umepatwa na misuli imekaza
 
Msuli unakushikaje wakati unadraivu? Watahisi jamaa alikuwa anajieksipress mwenyewe:hand:
 
we acha tu yaani sina mbavu leo.....duh!!! hata katoto kangu kashangaa leo mama kulikoni.......weeeeeee
Haha shishi hiyo ni blessing kucheka maana ukiwa na mihasira kila mara utamwathiri akitoka!! Its good for both you and the baby.
 
Msuli unakushikaje wakati unadraivu? Watahisi jamaa alikuwa anajieksipress mwenyewe:hand:
Babu haijalishi watafikiria nini we toa tu kisingizio lol mende... nakumbuka ninavyopandaga juu ya viti nikimwona mmoja loh wanatisha ati
 
Imenibidi niprint hii mada nitakwenda soma nyumbani--- nimekuwa teja
 
Natamani kufahamu hiyo ofisi yako ilivyo au iko kwenye lile jengo bovu la USHIRIKA Pale Lumumba?
 
Pole sana umenikumbusha machungu ya jana, i had almost the same story like yours but mines coz of neglegency, nilijaribu kutupa kitu dirishani nikiwa kwenye mwendo wa kasi kwenye kona ile narusha sterling ikajizungushabna kutoka nje ya bara bara, after a minute nilijikuta msituni nimegonga mti gari imekwaruzika kwa mbele,Thanks God nothing happened. Ila nimejifunza kitu kikubwa kwa hili. Tuombeane.
 
Back
Top Bottom