Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

Hii sredi nimejikuta sina cha kuchangia zaidi ya kucheka na kucheka na kucheeeeeeeka mpaka basi:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Omba Mungu yasikukute .....umasikini ni mmbaya sana
 
duh...pole sana wakwetu...mimi nadhani ungefuata huo ushauri wa kujipulizia bygon au doom......usifanye mchezo na mende kabisa...next tym keep a distance
 
Pole sana nenda katafute dawa inaitwa BORIC ACID halafu chukua kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na unga au kiini cha yai la kuchemsha changanya na mkono tu halafu nyunyuzia ofisini kwako kila kona usiitowe hiyo dawa baada ya siku 2 ama 3 hutoona tena mende ofisini kwako
 
duh...pole sana wakwetu...mimi nadhani ungefuata huo ushauri wa kujipulizia bygon au doom......usifanye mchezo na mende kabisa...next tym keep a distance
Sasa akiipulizia hiyo kitu kwenye baioloji afu akakuletea MIC uitumie si utaRIP?
 
Haya maofisi yetu yamezeeka sana na kutokana na watu kulipwa mshahara mdogo wanakuja na vyakula vyao kama mihogo ya kuchemsha na mikate kama mlo wa mchana/lunch ikimwagika ofisini inasababisha mende kupata mlo na kuzaliana zaidi. Poverty is very expensive

ashukuriwe mungu kwa kuepusha ajali iliyotakwa kusababishwa na mende.
kweli vinavyosababisha ajali vipo vya aina nyingi,hii nayo ingekuwa one of the kind:becky:
 
Haya maofisi yetu yamezeeka sana na kutokana na watu kulipwa mshahara mdogo wanakuja na vyakula vyao kama mihogo ya kuchemsha na mikate kama mlo wa mchana/lunch ikimwagika ofisini inasababisha mende kupata mlo na kuzaliana zaidi. Poverty is very expensive

Dah! Pole sana mkubwa.
 
Asanteni kwa pole na nyie muwe makini wandugu imagine ningekuwa kwenye daladala.....
 
Haya maofisi yetu yamezeeka sana na kutokana na watu kulipwa mshahara mdogo wanakuja na vyakula vyao kama mihogo ya kuchemsha na mikate kama mlo wa mchana/lunch ikimwagika ofisini inasababisha mende kupata mlo na kuzaliana zaidi. Poverty is very expensive

nchi zilizoendelea nyingi tu kama ufaransa na nchi za Asia ni kawaida kwa watu kubeba lunch box.

Tatizo linakuja kwenye kumwaga mwaga hicho chakula na kutoweka mazingira ya ofisi kwa usafi.
 
pole sana lol mi huyo mende ningemfyatua bunduki au ningemuhifadhi hadi nyambani kissha natoa panga nampa moja ya kicchwa sidhani kama angerudia tena
 
hahahaha Superstar pole sana ila nimecheka mie mpaka machozi

Hawa mende wetu wanatabia mbaya sana. Kila dakika leo naenda wash room kucheki isikute leo kuna katoto ka mende jana ilikuwa mama yao
 
kaka ulilazimika kuikagua baioloji ya huyo mende mpaka ukajua kuwa ni mende mama? alikuwa mjamzito au?
 
Kwa sababu alikimbilia kwenye bailojia ya kiume na kuikumbatia
 
Pole sana swahiba .da kweli mende huyo hakuwa na simile kabisa hajui kuwa bado unahitaji kutoa huduma ya kwanza kwa Shemeji yetu jamanii
 
Pole ndugu yangu kwa yaliyokukuta.. Nimecheka kama sina akili nzuri eti sehemu ya baiolojia... You have made my day
 
Mfumo wa maji taka wa jengo lenu ni mchafu sana hadi mende wanakimbia. Boresheni hiyo miundombinu
 
Back
Top Bottom