Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

Na rais akiondoa haki bila ya kuwepo maslahi ya umma inakuwaje?

Maslahi ya umma ni nini?

Nani anaamua haya ni maslahi ya umma na haya si maslahi ya umma?

Utajuaje hapa haki imeondolewa kwa maslahi ya umma na hapa haki imeondolewa kwa maslahi ya chama au wanene wachache?

Kama kuwanyima wapinzani kuandamana kunaweza kuleta kinyongo kitakachosababisha mpasuko katika jamii, na kuwaachia waandamane hakuna hasara yoyote ilimradi wanaandamana kwa Amani, na wapinzani wameahidi kuandamana kwa amani, rais kuwanyima kuandamana ni kulinda maslahi ya umma kivipi?
Ehee sasa hapa tunaanza kwenda pamoja.
Maslahi ya umma yana julikana kwenye mamlaka na kiongizi wa mamlaka ni rais.

Kwa hiyo basi mwenye kujua haya ni maslahi ya umma na haya siyo maslahi ya umma ni mamlaka.
Sasa basi haki na uhuru upo chini ya mamlaka kutikana na hekima na uzalendo sio shinikizo la maandamano.
 
Rais ana DNA gani tofauti na wengine mpaka yeye tu ajue haya ni manufaa ya umma?

Mbona hujajibu mswali yangu yote?

Utajuaje haya maslahi ya umma na haya si maslahi ya umma?

Rais akiondoa haki kinyume na maslahi ya umma iweje?

Maslahi ya umma katika kuminya mikutano ya siasa na maandamano yako wapi?

Kuweka nchi katika mpasuko kwa kuzuia mikutano na maandamano wakati wakiruhusiwa kufanya hiyo mikutano na maandamano nchi haipati hofu ya mpasuko ni maslahi ya umma kivipi?

Kwa nini unajikita kuongelea maslahi ya umma in therms of authority na unaacha kuongelea maslahi ya umma in terms of logic?
 
Rais ana DNA gani tofauti na wengine mpaka yeye tu ajue haya ni mamlaka ya umma?

Mbona hujajibu mswali yangu yote?

Utajuaje haya maslahi ya umma na haya si maslahi ya umma?

Rais akiondoa haki kinyume na maslahi ya umma iweje?

Maslahi ya umma katika kuminya mikutano ya siasa na maandamano yako wapi?

Kuweka nchi katika mpasuko kwa kuzuia mikutano na maandamano wakati wakiruhusiwa kufanya hiyo mikutano na maandamano nchi haipati hofu ya mpasuko ni maslahi ya umma kivipi?

Kwa nini unajikita kuongelea maslahi ya umma in therms of authority na unaacha kuongelea maslahi ya umma in terms of logic?
Sasa hapa utakuwa unataka niongee unachotaka wewe.
Nimekuambia kwa mujibu wa katiba. Hakuna sehemu imeeleza kwenye katiba kwamba hata ni maslahi ya umma na haya siyo.
Nimekueleza kuwa maslahi ya umma yapo kwenye kamusi ya rais pekee yake.
Kwahiyo kwa mujibu wa katiba yetu mwenye uwezo wa kujua haya ni kaslahi ya umma na haya sio ni mamlaka pekee.
Sasa basi kwakuwa mamlaka imekataza kufanya mikutano ndani na nje kwa maslahi ya umma. Kwa hiyo hakula kujadiliana huh apo.
 
Wapi imesemwa kwamba maslahi ya umma yapo katika kamusi ya rais pekee?

Kwa nini maslahi ya umma yawe katika kamusi ya rais pekee?

Isn't that an oxymoron?
 
[QUOTEwangianga, post: 17389521, member: 13377"]Wapi imesemwa kwamba maslahi ya umma yapo katika kamusi ya rais pekee?

Kwa nini maslahi ya umma yawe katika kamusi ya rais pekee?

Isn't that an oxymoron?[/QUOTE]

Mkuu wangu achana na huyo mbunda..bwege...hakuna anachokijua zaidi ya kuchukua ibara ya katiba na kumeza kama ilivyo...utamaliza kuni kwa kuchemsha mawe Mkuu wangu

Mkuu wangi
 
Nadhani sasa watu wataelewa kwa nini tume ya Jaji Francis Nyalali na baadaye Tume ya Warioba zilipendekeza kupunguzwa kwa madaraka ya Rais, Lakini hata baba wa Taifa alipata kusema kuhusu katiba yetu kwamba inampa madaraka makubwa Rais

Opportunity ya kutunga upya katiba yetu ndiyo ile tuliichezea wenyewe, tukajadili serikali mbili au tatu for more than two weeks kama kwamba hilo ndilo lilikuwa jambo muhimu sana kuliko haya.

Tuvumilie.
 
Kuna mtu hapa anaitwa Kiranga amekomaa na vimaswali vya ajabu ajabu kuniuliza kana kwamba mimi ndio katiba.
Ananishangaza sana. Badala ya kuihoji katiba ibara kwa ibara inayohusu uhuru na haki analeta vijimaswali ambavyo havina hata mantiki kuhusu katiba.
 
Bro, claw back clause ndo kama hizo alizokutajia mleta Mada, mfano Article 30, hiyo ni claw back clause, ambayo imeweka limitations on the enjoyment of the rights provided under part 3, mbona Lissu hawambii hili, anawaambia tu mna haki, hawaambii kama mnawajibu pia!
Hao wote wahuni mkuu. Unafikiri Muhuni Lissu anaweza kuwaeleza ukweli hawa wala vumbi?
 
Kuna mtu hapa anaitwa Kiranga amekomaa na vimaswali vya ajabu ajabu kuniuliza kana kwamba mimi ndio katiba.
Ananishangaza sana. Badala ya kuihoji katiba ibara kwa ibara inayohusu uhuru na haki analeta vijimaswali ambavyo havina hata mantiki kuhusu katiba.
Nimekuuliza ibara ipi ya katiba imempa rais mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya siasa.

Hujaiweka ibara hyo hapa.

How the fvck can you talk about ibara kwa ibara na mantiki?

Mantiki ikikuangalia usoni utaijua wewe?
 
Wewe usijifanye kuruka ruka.
Nyie mnao dai haki ndio mnatakiwa mtuambie ibara ipi imesema vyama vya siasa kufanya mikutano?
Isitoshe katiba kwenye ibara ya 30 inaweka wazi kwamba kama inaona haki au uhuru umevunjwa, unavunjwa au unaelekea kuvunjwa unaenda mahakamani.
Kitendo ambacho chadema walifanya na serikali iliwabwaga.

Sasa wewe unayedai haki na uhuru unadai kwa misingi ipi?
Sasa eleza umma hapa JF misingi ipi ya kikatiba inakufanya udai hiyo haki.

Isitoshe sheria ya polisi kuhusu maandamano imeweka wazi kwamba kama unaona umenyimwa na polisi haki ya kufanya maandamano unapeleka mashitaka kwa waziri wa mambo ya ndani na kauli yake ndio ya mwisho.

Acha kuongea vitu hewa hapa. Tunaongea kwa upana sio vijimaswali vya ajabu ajabu bila hata kutaja ibara ipi imekupa haki ya kufanya mikutano.
 
Acha longolongo.

Toa ibara inayosema rais ana nguvu za kupiga marufuku mikutano ya siasa.
 
Safi sana
CDM wana tumia umbumbumbu wa wanachama wao
Kuwa danganya.
Nakuambia hawa hawana nafasi tena
Wana tapatapa,
Hoja ya Ufisadi imewapoteza hawana
Muelekeo tena
Soma sheria ya vyama vya siasa au huijui
 
Acha longolongo.

Toa ibara inayosema rais ana nguvu za kupiga marufuku mikutano ya siasa.
Wewe mbona unajibaragua. Hivi hiyo ibara hapo juu kwenye thread hujaiona au ubishi tu?
Nakutaka wewe ulete ibara inayoipinga hiyo kwamba kuruhusu kufanya mikutano.
Wewe Kiranga leta hapa ibara inayoruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano. Tuanzie hapo. Maana wewe ndiye unayedai haki. Kwamba unadai haki kwa misingi ipi? Leta hiyo ibara kutoka kwenye katiba.
 
Ibara ya juu ya thread ipi inasema rais ana mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya siasa? Itaje namba. Kuna ibara nyingi na kurasa 15 kwenye thread.

Hujui ku hyperlink? Hujui kwamba posts zina namba? Hujui hata namba ya ibara?
 
Soma ibara ya 29,30 na 31. Kisha urudi hapa tujadiliane
 
Sasa unachoongea ni nini sasa hapa? Hebu dadavua unataka kuongea nini?
Ungelikua hata na cheti cha sheria ungelinielewa kwa kifupi vifungu ulivyoviweka vimresha batilishwa kupitia kesi kadhaa mahakamani mfano r v mbushuu hivyo kama ilishabatilishwa mahakama haiwezi kuamua tofauti na ilivyoamua kipindi cha awali...hivi vitu ni vya kitechnical sio vya kusoma na kukimbilia tu kuona kwamba inawezekana...sijui kama umeelewa....
 
Soma ibara ya 29,30 na 31. Kisha urudi hapa tujadiliane
Nimekuuliza "Ibara ya juu ya thread ipi inasema rais ana mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya siasa?"

Ibara ya 29 na 30 hazijamtaja rais kabisa.

Ibara ya 31(4) imeeleza tu kwamba "hali ya hatari" itatangazwa na rais.

Lini rais Magufuli katangaza hali ya hatari? Unafahamu tamko la kutangaza hali ya hatari linakuwaje?

Hii marufuku aliyopiga sasa hivi Magufuli, kaipiga kwa ibara gani ya katiba?
 
Ungelikua hata na cheti cha sheria ungelinielewa kwa kifupi vifungu ulivyoviweka vimresha batilishwa kupitia kesi kadhaa mahakamani mfano r v mbushuu hivyo kama ilishabatilishwa mahakama haiwezi kuamua tofauti na ilivyoamua kipindi cha awali...hivi vitu ni vya kitechnical sio vya kusoma na kukimbilia tu kuona kwamba inawezekana...sijui kama umeelewa....
Kwanini sasa Lisu and Company hawaendi mahakamani wanasisitiza maandamano tu?
Kwahiyo unataka kuniambia baadhi ya ibara kwenye katiba ni batili?
Au umelenga kuongea kitu gani hasa?
Unataka kuniambia ibara ya 29, 30 na 31 siku hizi hazitumiki?
Hebu nijibu maswali yangu haya machache tuondoe utata.
 
Back
Top Bottom