Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Kwa kuilazimisha ACT na NCCR mageuzi kufanya siasa katika majimbo yao ( moja moja) waliposhinda, na si kokote kwingine, tayari imevunjwa ibara ya 20 (2)d
Hapo unaenda vizuri sana. Hebu sasa endelea kusoma mpaka ibara ya 31. Utaelewa sasa tunaongelea nini hapa.Kwa kuilazimisha ACT na NCCR mageuzi kufanya siasa katika majimbo yao ( moja moja) waliposhinda, na si kokote kwingine, tayari imevunjwa ibara ya 20 (2)d
Hapo unaenda vizuri sana. Hebu sasa endelea kusoma mpaka ibara ya 31. Utaelewa sasa tunaongelea nini hapa.
Unajua wewe ni mbumbumbu wa sheria ila itabidi nikueleweshe maana hivi vitu unavyoviletea ushabiki wenzio tumesoma miaka 4 chuoni ni hivi sasa nina katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania version ya kiingerezaWewe ndiye unatakiwa ueleze wapi katiba imetoa uhuru wa mtu kuandamana. Kuanzia ibara ya kwanza mpaka ya mwisho kwenyekatiba hakuna sehemu katiba imempa raia haki ya kuandamana.
Soma katiba wewe acha kulishwa maneno hewa na akina Lisu
Kama kweli wewe upo mwaka wa nne unasoma sheria chuo. Ninakuhakikishia uta fail.Unajua wewe ni mbumbumbu wa sheria ila itabidi nikueleweshe maana hivi vitu unavyoviletea ushabiki wenzio tumesoma miaka 4 chuoni ni hivi sasa nina katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania version ya kiingereza
Art. 15.-(1) Every person has the right to freedom and to live as a free person.
(2) For the purposes of preserving individual freedom and the right to live as a free person, no person shall be arrested, imprisoned, confined, detained, deported or otherwise be deprived of his freedom save only-
(a) under circumstances and in accordance with procedures prescribed by law; or
(b) in the execution of a judgment, order or a sentence given or passed by the court following a decision in a legal proceeding or a conviction for a criminal offence.
has a freedom of opinion and expression of his ideas;
has out right to seek, receive and, or disseminate information regardless of national boundaries;
has the freedom to communicate and a freedom with protection from interference from his communication;
has a right to be informed at all times of various important events of life and activities of the people and also of issues of importance to the society.
18. Every person - Freedom of expression
(a)has a freedom of opinion and expression of his ideas;
(b)has out right to seek, receive and, or disseminate information regardless of national boundaries;
(c)has the freedom to communicate and a freedom with protection from interference from his communication;
(d)has a right to be informed at all times of various important events of life and activities of the people and also of issues of importance to the society.
Political Parties Act Cap 258 of Laws of Tanzania
11. —(1) Every party which has been provisionally or fully registered shall be entitled-
- a) to hold and address public meetings in any area in the United Republic after
giving notification to the police officer in-charge of the area concerned for
purposes of publicizing itself and soliciting for membership;
- b) to the protection and assistance of the security agencies for the purposes of
facilitating peaceful and orderly meetings:
provided that provisional registration shall not entitle any party to put up a candidate or to campaign for any candidates in any parliamentary or presidential election or in a local authority election.
Katiba ni sheria mama hivyo inatoa maneno ya uhuru wa kutoa mawazo, sasa jinsi gani hayo mawazo yanafikishwa ni by holding and addressing public meeting in any area in the United Republic of Tanzania inakupaswa uellewe msingi mkuu wa UKUTA ni kupinga huko kupiga marufuku kufanyika kwa siasa Tanzania kwa kigezo cha haujachaguliwa hio sehemu umenielewa...Mr Layman
Hiyo ni clawback clause, inaweka limitations kwenye haki za binadamu. Hata hivyo kama umefuatilia case mbalimbali zilizoelezea article 30 bado neno public interest haina tafsiri inayoeleweka.Kama kweli wewe upo mwaka wa nne unasoma sheria chuo. Ninakuhakikishia uta fail.
Soma hiyo sura nzima inayo elezea haki. Ukifika ibara ya 29,30 na 31 haki zote hizo zinaondolewa. Utaona tena hizo haki zinaondolewa na mamlaka kutokana na sababu kadha. Sababu moja wapo ni maslahi ya umma.
Soma hiyo kati vizuri ili uweze kufaulu. Nchi ikiwa na uhuru na haki ambazo hazina mipaka itakuwa nchi ya vichaa.
Hiyo ni clawback clause, inaweka limitations kwenye haki za binadamu. Hata hivyo kama umefuatilia case mbalimbali zilizoelezea article 30 bado neno public interest haina tafsiri inayoeleweka.
Zaidi ya hapo ibara hiyo inalipa bunge mamlaka ya kutunga sheria na kuderogate haki za binadamu kwa maslahi ya umma rejea kesi ya Dominick mbushuu v R, Penal Code ni moja ya mfano wa utekelezaji wa clawback clause. Siyo Rais anayetakiwa atekeleze ibara ya 30 bali bunge linatakiwa kuja na sheria.
Kwa mfano katika swala la maandamano ya vyama vya siasa hayaingii hapo kwa sababu hiyo ibara inaongelea haki za binadamu. Tofautisha haki za binadamu na haki za chama cha siasa. Vyama vya siasa nchini Tanzania baada ya kuingia vyama vingi vina prevelege yake kuna vifungu vya katiba vilikuwa repealed kupisha sheria ya vyama vya siasa. Ukisoma ibara ya 5.3.2 ya katiba yetu inaeleza wazi kwamba mambo yote yahusuyo uendeshaji wa vyama vya siasa yapo kwenye sheria husika iliyotungwa na bunge hivyo basi sheria ya vyama vya siasa ina nguvu kuliko sheria za polisi kwenye haya mambo ya siasa
Anyway unaonekana hujasoma sheria. Inauma pale wengine tunasoma miaka minne sheria halafu unakuja kubishana na mtu aliyekariri ibara moja tu siku njema.
Mdogo wangu nimeshamaliza chuo hahahahah wewe hauelewi kitu aisee kubishana na wewe layman ni kupoteza muda katiba inaweka misingi ya sheria hizo sheria zinakuja kutekelezwa kwenye sheria specific mfano hapo kwenye freedom of expression hizo ibara ya 29-31 zimeshapingwa sana kwenye hukumu za kesi kama ulikua hujui kuna vitu vinaitwa precedents hivyo vinatumika kupinga vitu kama hivyo mahakama lazima inagalie kesi zake za nyuma ndo huamua vinginevyo tatizo lako umekariri vifungu viwili unakuja kubwabwaja serikali yenyewe inatambua inapokosea wewe shabiki maanadazi usiejua sheria unarukia rukia tu vitu hivi vitu ni beyond your ordinary comprehension...na kuanza kubishana na wewe ni shida maana itabidi nukufundishe katiba na principle zake na etc kitu amabcho sina muda wa kufanya hivyo...Kama kweli wewe upo mwaka wa nne unasoma sheria chuo. Ninakuhakikishia uta fail.
Soma hiyo sura nzima inayo elezea haki. Ukifika ibara ya 29,30 na 31 haki zote hizo zinaondolewa. Utaona tena hizo haki zinaondolewa na mamlaka kutokana na sababu kadha. Sababu moja wapo ni maslahi ya umma.
Soma hiyo kati vizuri ili uweze kufaulu. Nchi ikiwa na uhuru na haki ambazo hazina mipaka itakuwa nchi ya vichaa.
Sasa unachoongea ni nini sasa hapa? Hebu dadavua unataka kuongea nini?Mdogo wangu nimeshamaliza chuo hahahahah wewe hauelewi kitu aisee kubishana na wewe layman ni kupoteza muda katiba inaweka misingi ya sheria hizo sheria zinakuja kutekelezwa kwenye sheria specific mfano hapo kwenye freedom of expression hizo ibara ya 29-31 zimeshapingwa sana kwenye hukumu za kesi kama ulikua hujui kuna vitu vinaitwa precedents hivyo vinatumika kupinga vitu kama hivyo mahakama lazima inagalie kesi zake za nyuma ndo huamua vinginevyo tatizo lako umekariri vifungu viwili unakuja kubwabwaja serikali yenyewe inatambua inapokosea wewe shabiki maanadazi usiejua sheria unarukia rukia tu vitu hivi vitu ni beyond your ordinary comprehension...na kuanza kubishana na wewe ni shida maana itabidi nukufundishe katiba na principle zake na etc kitu amabcho sina muda wa kufanya hivyo...
Naweza kukupa hiyo.Kwa maelezo yako wapi katiba imesema vyama vya siasa vifanye mikutano?
Naomba tusizunguke sana. Ni kwamba kwa mujibu wa katiba ya Tanzania hakuna ibara inayoongelea uhuru wa vyama vya siasa. Basi kwa mantiki hiyo vyama vya siasa siyo huru.Naweza kukupa hiyo.
Kwanza nijibu swali langu. Katiba imempa rais madaraka ya kupiga marufuku mikutano ya kisiasa? Wapi?
Hujanipa sehemu ya katiba inayosema rais ana mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya siasa.Naomba tusizunguke sana. Ni kwamba kwa mujibu wa katiba ya Tanzania hakuna ibara inayoongelea uhuru wa vyama vya siasa. Basi kwa mantiki hiyo vyama vya siasa siyo huru.
Tusiende mbali sana. Na klubishani usio na tija. Ibara ya 29 na 30 inaongelea namna gani haki na uhuru ulivyo na limitation.Hujanipa sehemu ya katiba inayosema rais ana mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya siasa.
Na rais akiondoa haki bila ya kuwepo maslahi ya umma inakuwaje?Tusiende mbali sana. Na klubishani usio na tija. Ibara ya 29 na 30 inaongelea namna gani haki na uhuru ulivyo na limitation.
Kwenye ibara ya 30 inaongelea limitation ya haki na uhuru kutokana na maslahi ya umma. Mamlaka ndio imewekewa uwezo wa kutoa na kusimamia mamlaka ya umma.
Na kiongozi wa mammala ni rais.
Kwa hiyo basi rais anaweza kuondoa haki na uhuru fulani kwa maslahi ya umma.
Nakuomba usome vizuri ibara ya 29 mpaka 31
Kila mada Lissu ... Duh kumbe nawe ni adui kibiashara kwakoBro, claw back clause ndo kama hizo alizokutajia mleta Mada, mfano Article 30, hiyo ni claw back clause, ambayo imeweka limitations on the enjoyment of the rights provided under part 3, mbona Lissu hawambii hili, anawaambia tu mna haki, hawaambii kama mnawajibu pia!