tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,839
- 25,145
- Thread starter
- #121
tpaul hizi hapa jioneee
Unaona hizo screenshots? Jana nilitaka kununua muda wa maongezi ili nijiunge na kifurushi cha week. Wakanizingua weeeeeee hadi muda ukafika kika expire. Kila nikijaribu kununua inagoma, night ikawa imekubali kununua muda wa maongezi wa buku Tatu unusu, asubuhi najaribu kujiunga wanasema salio halitoshi kucheki wamekula kama buku shilingi Tatu, kwa kipi nilichokifanya sijui....
Massaweeeeeeee....Yesuuuuuuuuuuuuu....hawa voda sasa wamezidi kwa kweli. Ushahidi huu hata mahakamani unakubalika. Hivi ni lini hawa waizi wataacha kukwapua fedha za wateja wao?
Last edited by a moderator: