gkileo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,096
- 487
sasa kumbukeni CCM imetunyonya kwa miaka 50.. lakini wapo watu wanaishabikia.. kama tunakataa wizi huu wa mitandao tukumbuke pia kukutaa wizi wa CCM hapo mwakani 2015
Viatu vilimtosha mwingereza na mjerumani wengine 'vinapwaya' hata akiondoka ciciem........hakuna wa kuvivaa!