shikamoo mtalaamu wa masiliano.je tufanyaje ili tuwe salama na huu wizi?
Cha muhimu ni kila mtu kuchukua hatua ya kujilinda yeye binafsi, wala tusitegemee mamlaka yoyote ya serikali kutusaidia. Hakikisha kwenye simu yako hubakishi salio....hifadhi fedha kwenye mpesa, tigo pesa au airtel money...ukitaka kununua bundle, nunua airtime halafu jiunge immediately. Pia usijiunge kwenye huduma zozote za kipuuzi zinazokata salio lako.
Wametumbuliwa leoMengi ya unayo yasema kwangu binafsi nimeyaona kitambo ila hayakwepeki , TCRA wana titazama tu tukinyonywa.mfano wa kutotoa taarifa pindi kifurushi kikuishiapo katikati ya matumizi, na makato yasio na taarifa.
afadhari tigo siku hizi kuliko voda aiseeUkweli mtupu....
Tigo nafikiri ndo wahuni wakubwa..
Hili nalo limenikuta hivi karibuniIkiwa utafungua huduma hiyo ukiwa na salio, salio lako lote litakombwa sawia! Kuna mtandao mmoja wa simu unajinadi kwamba unatoa huduma ya fesibuku bure wakati ni uongo mtupu. Ingia kwenye hiyo fesibuku uone utakavyoliwa fedha! Aidha kuna mtandao mmoja uliwahi kuwa na fesibuku ya bure siku za nyuma (kama mtakumbuka).
Mengi ya unayo yasema kwangu binafsi nimeyaona kitambo ila hayakwepeki , TCRA wana titazama tu tukinyonywa.mfano wa kutotoa taarifa pindi kifurushi kikuishiapo katikati ya matumizi, na makato yasio na taarifa.
Ukweli mtupu....
Tigo nafikiri ndo wahuni wakubwa..