Wangoni maneno mengi ndo mana wengi wao ni wanasheria na wadadisi wa mambo coz wakianza kuongea wanatema utafikili wana vitabu kichwani wanasomaWangoni wana vipaji vya upiganaji vita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kwa kiswahili hiki hauwezi kuwa mtanzania otherwise tunaomba cheti chako cha kuzaliwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We utakuwa na Uraia Pacha tu maana Kiswahili chako kinafanana na cha kina Zitto