jinsi gani ya kurecover namba za simu au ujumbe mfupi wa simu uliotumwa kwenye simu

Yusufu

Member
Dec 8, 2010
13
0
Wadau naomba kidogo mnisaidie kitaaluma kunikumbusha kwamba ni namba gani nikizibonyeza kwenye simu naweza kupata simu na ujumbe uliotumwa kwenye simu husika kwa kipindi flani?naomba msaada wenu wadau. asanteni sana.
 
Wakati tunasubiri,agizeni baridi za ukweli hapa tukate kiu,everything on me.Belivdat
 
Back
Top Bottom