Written au Oral?private nataka niende kufanya usaili ajiraportal
Omba ruhusa utachelewa kufika. Written Haina muda mrefu ni chini ya sasa Moja tu kama utafanya asubuhi. Simple sanaprivate nataka niende kufanya usaili ajirapo
wrriten
Ila WATU 😀😀Nipe namba ya simu nitakupigia huku nalia nataja jina lolote hata john kuwa amekufa na wewe unga tela anza kulia ,wakikuuliza wambie ni rafiki yako wa mtaani hivyo unaomba ukaweke mazingira mazuri ya msiba ,hapo utapewa si chini ya siku tatu
Ya kwanza kafanye usaili ,siku ya pili tafuta hata kibarua cha saidia fundi ili unitumie hela yangu ya kazi ,ni hennesy mbili nitakuwa sikudai
Lazima itakua writtenWritten au Oral?
Hapo kwenu hawajui kuhusu emergency? Ukishindwa ziombee kwenye leave yakoprivate nataka niende kufanya usaili ajiraportal