Mkuu, nakuhakikishia kuwa huyo mshua hana tatizo lolote, ni namna yake tu ya kupiga mswaki. Kuna watu kupiga mswaki ni kama vita! Mtu robo saa anapiga mswaki tu na kelele kama zote.Mchukue chemba ongea naye."Baba samahani naona kama kuna kitu unapata shida kidogo hasa wakati kupiga mswaki.Kwanza pole kwa shida hiyo ila cha pili nitaman kama naweza kufahamu tataizo nione tusaidiane vipi kulimaliza. Then baba kama kweli tatizo analo na anajua ni tatizo atakubia na kukiri hapo itakuwa rahisi.Ila anaweza asijue kama ana tatizo unalosema.
Hapo busara itabidi iongezeke kidogo ila bado huwez kushindwa ilimradi utakuwa polite