Mr JM JF-Expert Member Dec 21, 2016 266 459 Oct 16, 2020 #181 Hio kawaida paka Leo hata sijui maana hata mshua wangu alikuwa akipiga mswaki anakuwa hivyo nahis ni mazoea
Hio kawaida paka Leo hata sijui maana hata mshua wangu alikuwa akipiga mswaki anakuwa hivyo nahis ni mazoea
mwandende JF-Expert Member Feb 16, 2017 10,518 19,883 Oct 21, 2020 Thread starter #182 Tajiri wa Magomeni said: vipy mzee wakwe wameshaondoka? Click to expand... Bado ninao mkuu..
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,103 34,063 Oct 21, 2020 #183 ROGATH MCHAU said: Kwakuwa wataishi kwako muda mfupi mimi nafikiri bora uvumilie tu ili waondoke kwa amani. Kama sauti ya kupiga mswaki inakukera vaa hata earphone mpaka atakapotulia. Click to expand... Hapo atakuwa ameondoa kero kwake lakini bado hajamsaidia huyo Baba
ROGATH MCHAU said: Kwakuwa wataishi kwako muda mfupi mimi nafikiri bora uvumilie tu ili waondoke kwa amani. Kama sauti ya kupiga mswaki inakukera vaa hata earphone mpaka atakapotulia. Click to expand... Hapo atakuwa ameondoa kero kwake lakini bado hajamsaidia huyo Baba
mwandende JF-Expert Member Feb 16, 2017 10,518 19,883 May 14, 2022 Thread starter #184 Giltami said: Ushauri mzuri sana sio kila mtu nimuelewa jitahidi kukwepa lawama za wazee kwa kuwa ni muda mfupi vumilia tu au fungulia redio Click to expand... Sawa mkuu
Giltami said: Ushauri mzuri sana sio kila mtu nimuelewa jitahidi kukwepa lawama za wazee kwa kuwa ni muda mfupi vumilia tu au fungulia redio Click to expand... Sawa mkuu