kama elimu yako ni form four haina shida mkuu.Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza kielimu.
NB. Elimu yangu ni Form 4.
Nawasilisha kwenu, Asante.
Njia sahihi kabisakama elimu yako ni form four haina shida mkuu.
pale kuna course inaitwa foundation. hii itakufanya uwe na sifa za kusoma degree ukimaliza na kufaulu
course hii inasomwa na wale ambao hawajamaliza form 5-6.
sisi mfumo wetu wa kujiunga na vyuo vikuu unataka lazima umalize form 5-6 ndiyo maana ni vigumu hata kwa wanafunzi kutoka nchi nyingine zisizo na hiyo mifumo
asante
Mkuu mkuu mfumo wa foundation course nafikiri ni kwa waliofail form 6 na co kwa form 4. Sema huyo ataweza kusoma certificate au diploma ila itadepend anatakakusoma nn?kama elimu yako ni form four haina shida mkuu.
pale kuna course inaitwa foundation. hii itakufanya uwe na sifa za kusoma degree ukimaliza na kufaulu
course hii inasomwa na wale ambao hawajamaliza form 5-6.
sisi mfumo wetu wa kujiunga na vyuo vikuu unataka lazima umalize form 5-6 ndiyo maana ni vigumu hata kwa wanafunzi kutoka nchi nyingine zisizo na hiyo mifumo
asante
Mkuu kwanza ungesema unataka kusoma nini?Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza kielimu.
NB. Elimu yangu ni Form 4.
Nawasilisha kwenu, Asante.
Inawezekana. Ila namjua mwalimu mmoja wa grade A alipitia hii njia sasa yupo degreeMkuu mkuu mfumo wa foundation course nafikiri ni kwa waliofail form 6 na co kwa form 4. Sema huyo ataweza kusoma certificate au diploma ila itadepend anatakakusoma nn?
Vyeti vyangu vinanikera nikiviangalia, Mimi nataka risiti tu kabisa. Vipi nikirisiti halafu nikafeli zaidi kinatumika cheti kipi?Inawezekana. Ila namjua mwalimu mmoja wa grade A alipitia hii njia sasa yupo degree
Nichofahamu kama ulifail form 6 unapiga foundation course then ukifaulu kuanzia GPA ya 3 unakuwa unavigezo sawa na alifaulu form 6 hvyo unarusiwa kusoma chuo chochote tanzaniaInawezekana. Ila namjua mwalimu mmoja wa grade A alipitia hii njia sasa yupo degree
Kwenye kurisiti kinatumika kile ulichofaulu vizuri wala usiwe na shaka.Vyeti vyangu vinanikera nikiviangalia, Mimi nataka risiti tu kabisa. Vipi ukirisiti halafu nikafeli zaidi kinatumiga cheti kipi?
Oh sawaNichofahamu kama ulifail form 6 unapiga foundation course then ukifaulu kuanzia GPA ya 3 unakuwa unavigezo sawa na alifaulu form 6 hvyo unarusiwa kusoma chuo chochote tanzania
ACHA KUMPOTOSHA, NI WAL E WALIOMAIZA FORM 6, WAKAPUNUKIWA SIFA , NA SI WALIOFELI WALA WASIOMALIZA, NENDA KASOME CIRTIFICATE KWA NJIA YA ONLINEkama elimu yako ni form four haina shida mkuu.
pale kuna course inaitwa foundation. hii itakufanya uwe na sifa za kusoma degree ukimaliza na kufaulu
course hii inasomwa na wale ambao hawajamaliza form 5-6.
sisi mfumo wetu wa kujiunga na vyuo vikuu unataka lazima umalize form 5-6 ndiyo maana ni vigumu hata kwa wanafunzi kutoka nchi nyingine zisizo na hiyo mifumo
asante
Kama una D 4 achana na maswala ya kurisiti utapoteza muda bure nenda open piga diploma yako huku unapiga mishe zako... kwa somo ada kwa unit 1 ni 40000/= na unalipa kidogo kidogo.Vyeti vyangu vinanikera nikiviangalia, Mimi nataka risiti tu kabisa. Vipi ukirisiti halafu nikafeli zaidi kinatumiga cheti kipi?
Na ada za open kwa kozi za masters je? Ni bei hiyo hiyo uliotaja?Kama una D 4 achana na maswala ya kurisiti utapoteza muda bure nenda open piga diploma yako huku unapiga mishe zako... kwa somo ada kwa unit 1 ni 40000/= na unalipa kidogo kidogo.
Nb: Kuna baadhi ya program utaweza kusoma diploma kwa D nne ila kuna baadhi zitahitaji uanze na certificate kwanza
Hio nilikuwa naliwaza maana Mimi ni muajiriwa.Kwenye kurisiti kinatumika kile ulichofaulu vizuri wala usiwe na shaka.
Lakini ukitaka kurisiti pia Amini kwamba unaweza usiwaze kufeli mkuu
Upo mikoani au darHio nilikuwa naliwaza maana Mimi ni muajiriwa.
O'level cheti kiko poa, Cheti changu Cha form VI ndo kiko hovyo ndo nayotaka ku_reseat, sitaki diploma wala certificate maana nilisoma diploma zile za NECTA kifupi hata sikukaa chuoni kusoma kusoma bali nilienda tu kufanya mtihani nikahitimu badae nikaajiriwa shida GPA nlopata ni 2.2 Sasa kwa hiyo GPA unajiendelezaje?Kama una D 4 achana na maswala ya kurisiti utapoteza muda bure nenda open piga diploma yako huku unapiga mishe zako... kwa somo ada kwa unit 1 ni 40000/= na unalipa kidogo kidogo.
Nb: Kuna baadhi ya program utaweza kusoma diploma kwa D nne ila kuna baadhi zitahitaji uanze na certificate kwanza
Ah kuna vyuo wanachukua hiyo mkuu. Haya mambo sikuizi ni biasharaO'level cheti kiko poa, Cheti changu Cha form VI ndo kiko hovyo ndo nayotaka ku_reseat, sitaki diploma wala certificate maana nilisoma diploma zile za NECTA kifupi hata sikukaa chuoni kusoma kusoma bali nilienda tu kufanya mtihani nikahitimu badae nikaajiriwa shida GPA nlopata ni 2.2 Sasa kwa hiyo GPA unajiendelezaje?
Kabla ya kuanza kozi itakupasa uwe na android ama pc ukiwa na pc ni vzr zaid maana itakusaidia pia kuandika assigment ama kwenye course ya ICT.Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza kielimu.
NB. Elimu yangu ni Form 4.
Nawasilisha kwenu, Asante.