Jinsi gani naweza kusoma Open University?

Jinsi gani naweza kusoma Open University?

Si kweli kiongozi,hiyo foundation program haiwahusu wanafunzi wenye elimu ya kidato cha 4,inawahusu wanafunzi wenye elimu ya kidato cha sita,wenye principle pass moja na subsidiary,ambao hawawezi kusoma degree moja kwa moja,na wanafunzi waliosoma diploma wenye GPA below 2.9,ambao hawawezi kupata udahili moja kwa moja kusoma degree! Makundi hayo mawili tu ndo yanayoweza kusoma hiyo foundation program,huyo wa form four aanze na cheti then diploma,kama atapata GPA 3.0-5.0,atapata fursa ya kusoma degree moja kwa moja,kama atapata GPA ya 2.9 kushuka chini itambidi asome sasa hiyo foundation program.
Ndugu hiyo foundation course ni kwamba mtu atasoma masomo ya A-Level au inakuaje?
 
Mkuu hakuna chuo kinachochukua GPA ya 2. Zamaini ilkuwa ni GPA ya 2.7 ila miaka hv karibuni wanataka GPA ya 3. Hapo alternative ni foundation course tu
Hivi kwanini walibadilisha 2.7 kwenda 3.0 maana ukiangalia vyuo vikuu vyote vya East africa na kwengineko Duniani kwa equivalent entry qualification wanachukua kuanzia 2.7 GPA Kenya Uganda na nk
 
Hivi kwanini walibadilisha 2.7 kwenda 3.0 maana ukiangalia vyuo vikuu vyote vya East africa na kwengineko Duniani kwa equivalent entry qualification wanachukua kuanzia 2.7 GPA Kenya Uganda na nk
Mkopo!!! Wanabana ili kusiwe na wanafunzi wengi watakao wapa mikopo hasa wa kozi za sayansi...!!! wanaosoma kozi za sayansi kuna mda mbna gpa zinafafika hadi 3.5
 
Je aliyesoma Foundation course kutoka Open university of Tanzania na kufaulu anaweza kuomba mkopo kutoka heslb Tanzania na akapewa?
 
Kama ni mwalimu una degree usipoteze muda kusoma degree nyingine kapige masters kabisa.
Ukipiga masters halafu ikusaidie nn???
Kama upo na degree pia degree nyingine upate kufanya kaz sehemu unayotaka
Usisome masters kwa kutegemea utapandishwa cheo, au kupewa ajira mbadala
 
Ndugu hiyo foundation course ni kwamba mtu atasoma masomo ya A-Level au inakuaje?
Ndio unachangua masomo matatu ya comb mfano HKL halafu utasoma masomo mengine 3 Communication skills, Development studies na Introduction to Computer Jumla utakuwa na masomo 6 ukikamilisha utatakiwa uwe na GPA isiyopungua 3.0 na ukifikia GPA hiyo unaweza ku dahiliwa Bachelor degree katika chuo chochote

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi naomba kuuliza kuwa, je mtu akisoma Foundation anaruhusiwa kujiunga chuo chochote hata vya serikali mfano Udsm, Mzumbe, nk?
 
Nina binti yangu amechaguliwa kozi ya certificate tawi la Kinondoni.
Amemaliza kidato cha nne mwaka jana!
Naomba kufahamu mfumo wa usomaji wa darasani kama upo au la!!
Na ratiba za masomo zipoje kwa juma!!!
 
Kama unataka pastpaper za open university nichek inbox kwa bei rahisi tu
 
Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza kielimu.

NB. Elimu yangu ni Form 4.

Nawasilisha kwenu, Asante.
Unaanza na certificate ukimaliza unakuja diploma then degree
Foundation course ni kwa ajili ya watu wa form 6 na diploma waliokosa sifa za kuendelea na bachelor
 
Back
Top Bottom