Jinsi gani naweza jenga hoja

comedian

Member
Apr 30, 2017
38
51
wakuu jf habar

najua mko nahuzuni sana kwa msiba nilisikia pale juzi ilikuwa 6th/may kwakweli najua taifa liko kwenye majonsi ya hali ya juu kabisa

nachotaka kujua ni jinsi gani naweza kuandaa mada yoyote ambayo ina-make sense kwa watu najua humu kuna maproffesor,doctors na watu wanaofanyia works shop mbali mbali walimu kibao wamejazana humu wenye uelewa wa hali ya juu (great thinkers)

mwenye kujua mbinu jinsi gani naweza andaa mada, au hoja mbali mbali anieleze obviously siwezi kwendana na spidi yenu watu wa humu jf najua nyie mna uelewa kupita mimi sana tu

karibuni
 
Hata huu uzi ni hoja inayomake sense na yenye kueleweka........sasa unataka kujua nini zaidi?
 
Ondoa Shaka Hapa JF Umefika Cha kwanza Ningependa Nifahamu Kabila Lako Na Umri Wako Tutajua Tunakusaidiaje Kabla Ya Yote!!!""
 
wakuu jf habar

najua mko nahuzuni sana kwa msiba nilisikia pale juzi ilikuwa 6th/may kwakweli najua taifa liko kwenye majonsi ya hali ya juu kabisa

nachotaka kujua ni jinsi gani naweza kuandaa mada yoyote ambayo ina-make sense kwa watu najua humu kuna maproffesor,doctors na watu wanaofanyia works shop mbali mbali walimu kibao wamejazana humu wenye uelewa wa hali ya juu (great thinkers)

mwenye kujua mbinu jinsi gani naweza andaa mada, au hoja mbali mbali anieleze obviously siwezi kwendana na spidi yenu watu wa humu jf najua nyie mna uelewa kupita mimi sana tu

karibuni
Umeongea vema. Kama hujui kujenga hoja na umemaliza walau Form Four, peleka cheti chako haraka NECTA kihakikiwe.
 
Kwa hiyo mtu aliyesoma ndio mwenye uwezo wa kujenga hoja pekee??

Wewe hujawahi ona mtu kaishia la saba lakini ana jenga hoja kuliko profeseri??
 
wakuu jf habar

najua mko nahuzuni sana kwa msiba nilisikia pale juzi ilikuwa 6th/may kwakweli najua taifa liko kwenye majonsi ya hali ya juu kabisa

nachotaka kujua ni jinsi gani naweza kuandaa mada yoyote ambayo ina-make sense kwa watu najua humu kuna maproffesor,doctors na watu wanaofanyia works shop mbali mbali walimu kibao wamejazana humu wenye uelewa wa hali ya juu (great thinkers)

mwenye kujua mbinu jinsi gani naweza andaa mada, au hoja mbali mbali anieleze obviously siwezi kwendana na spidi yenu watu wa humu jf najua nyie mna uelewa kupita mimi sana tu

karibuni
Bado hujakua mkubwa ,ngoja ukikua kwanza utajua tu taratibu.

Usikimbilie suti kabla ya kuvaa nepi.
 
Kujenga hoja hakuna kufundishwa ndugu mleta mada.hekima,busara,na ujuaji wa mambo mengi yatokanayo na mzunguko wa maisha ndiyo sababu kubwa ya uwezo wa kujenga hoja.haijalishi elimu uliyonayo.kutembea maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi,kufanya kazi maeneo tofauti tofauti,kushiliki ktk shughuli za kijamii,kutoa huduma za kijamii.haya mambo ukiyaishi ni sehemu ya kumfanya mtu awe na uwezo wa kujieleza na kujenga hoja mbele ya jamii
 
Back
Top Bottom