Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

Hiyo ndio jihad bwana... ndo maana waliruhusu waislam watoke. Mashekhe kibao akiwemo ponda ndo mahubiri yao ya kila siku. Kuna watu hawajui dini yao apa wamo tu sababu walizaliwa uko. hawa wanachofanya nikutekeleza dini inavotaka japo wengi hujidai kubishi na kuwaita eti wahuni. This is a naked truth!! hiyo ndo tafsiri ya kupigania haki za waislam!
 
mkuu heshima yako sana,huyu eiyer alikuwa anachanganyikiwa sana na huu mstari ila umempatia tafsiri nzuri sana, nimeamini makafiri watapambana na uislam ila hawatashinda.
 
Kulipiza kisasi ni halali kabisa,ila kwa haki, mfano kama mtoto wako ameuliwa kwa makusudi,na wewe unatafuta mtoto wa yule aliye muua wakwako naye unamuua.kama wanaamini yesu (mungu wao)alijitoa muhanga ili watu wake waondolewe dhambi,kwanini wasikubali mwanadamu kijitoa muhanga kwa ajili ya kuondoa udhalimu katika ardhi?
 
inasikitisha sana,

dunia imeharibika sn. ndio tabu ya makundi ya kigaidi yalichoka maisha kutojari uhai wa wa2 wengne.
 
Tanzania tumeshindwa hata kutos pole Tu? As if hatuna ndugu huko???

Nadhan utakua unajiongela mwenywe serikali ya tz imetoa pole na inaaikitishwa sana na kitendo hicho..au unataka tuchangishe mchango tz nzima tupeleke huko?personally inanisikitisha kitendo walichofanya
 
Poleni wote mlioathirika kwa namna moja au nyingine
 


We unatakwimu zinaonyesha askari wa kenya walipokuwawanaisaidia serikali ya Somalia hawakuua raia hata mmoja? Josephy konyi na jeshi lake walikuwa waislam, savimbi naye, MPLA kule Sudan, M23 kongo mbona huwa mnawashwa sana Uislam?
 

Wewe na huyo Allah wako aliyekujaza roho chafu ya kushabikia mauaji, mtaishia kwenye moto wa milele
 

Sasa awa jamaa kwa nini hawashtuki kwamba mungu atakayeweka mguu wake jehanam,si Mungu wa kweli bali shetani au kwa jina lingine ibilisi.
 
sio kila nchi tunakimbilia kutoa misaada ya Jeshi zingine ni nira
 
Kuua Nafsi bila haki(hakuua mtu hakufanya ufisadi ktk ardhi )ni haramu na ktk madhambi makubwa .walichofanya al shabab ni dhulma (wamedhulumu Nafsi za Watu wasiokuwa na hatia) na Mwenyenzimungu anajua malipo Yao . Na ni haramu kumuua mtu vitan alie weka silaha chini wachilia Hawa wanawake na watoto na ndio mafundisho Sahihi ya mtume s a w.
 
Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.

Tv coverage ipi munayoitaka nyinyi masaa yote tv zetu ziwe zinaonyesha tukio la kenya tu? Mi nimeona mara kwa mara ITV imekuwa ikijiunga na BBC kuonyesha kinachoendelea Kenya
 
Kiboko yenu ni mmarekani tu,anapambana na uislamu kwa mwamvuli wa ugaidi.

Katu Mmarekani hawezi kupambana na uislamu bali anapambana na waislamu. Uislamu ni mfumo aliouweka Mwenyezi Mungu na hauwezi kufutika mpaka mwisho wa dunia hata wakiwaua waislamu wote duniani wajue mfumo utabakia tu na mwisho wa siku M/Mungu atahukumu kwa kuufuata mfumo huu.
 

Huna hoja umejaa chuki, fitina, majungu na uzushi tu na upo mbali kabisa na mada. Tuwape pole wakenya usilete hisia zako za uongo. Aibu yako
 
message to Mlimani City..Quality Centre..Shopaz Plaza..n.k..sipati picha.
Kaazi kweli kweli sasa mkuu unatamani na sisi yatokee hayo ya kenye. Je hufikirii kuwa pengine na wewe utakua mmoja wa waathirika na kama si wewe basi mmoja wa familia yako. Hebu kuwa na huruma hata kidogo.
 

Kipi kinachokufanya kuikashifu dini hii? Kwa sababu ya Alshabaab, Al-qaeda au wanaharakati wengine? Wote hatupendi mauaji ya watu wasio na hatia duniani na M/Mungu amekataza kabisa kuuwa nafsi isiyo na hatia. Lakini kwanini unakimbilia kuuhusisha uislamu na hizo harakati za makundi mbalimbali. Ikiwa kama Alshabaab na Alqaeda ni nembo na uwakilishi wa Uislamu basi Marekani, Israel na washirika wao wa Ulaya ni nembo na uwakilishi wa Ukristo kisha tupime kati ya wakristo na waislamu ni nani wanayoua watu wengi duniani. Wamarekani na waisrael wanaua mamilioni ya watu wasio na hatia kila siku Mashariki ya kati na maeneo mbalimbali duniani na kwa maana hii Wakristo ndiyo wauaji wakubwa na ukristo ni dini ya kuuwa watu hovyo
 
suala sio kwenda mbinguni ,suala ni kubalance maumivu tu wao wanauliwa somalia

al shabaab wanaua wasomali ambao nao pia ni waislamu waliopo kwenye serikali ya somalia, kenya wamekwenda kusaidia serikali ya somalia(inayoongozwa na waislamu vilevile) ku stabilize amani.
Hapa ufumbuzi ni kuwaacha wasomali(waislam) waendelee kuuana wenyewe kwa wenyewe, na hakuna nchi yoyote nyingine kuingilia kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…