Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kila siku yeye ni mtu wa kupewa Mara million Mara nikapewa million 5 sijui na nani .

Hapo hapo yeye ni mtu wa kutoa muda wote.

Wakati huo Hana shughuli ya kueleweka
Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
 
Nilichogudua ni kwamba husomi story yote ukaelewa,unasoma tuu sehemu ya maokoto that means huna hela ukiskia million unapatwa na kichaa,kwahy umeshindwa ata kukumbuka episode ya mwisho hapa irny anamtambulisha insider kama manager wake,kwahy kuwa manager hiyo siyo shughuli yakueleweka?
Hata bar za uswahili kuna manager
 
Nipo Nuhu nimekuwa msomaji wa kimyakimya tupo wote toka mwanzo kabisa
Kila simulizi ninayosoma Jf lazima nakuta ushaipitia/coment sijui kama kuna ambayo hujaisoma hii ya INSIDER nimeona kimya kimezidi kumbe unapita kimya kimya.
 
Haina mbaya
Kuna vitu tunaviweka sawa ili ikishuka hii kitu tusepe na dunia ya Jamii forum.
Mzee utanifanya niandae hela ya korosho kilo moja na karanga za kukaangwa za kutosha...ni kutafuna tu na kusoma simulizi
Kama vp anza next week kaka shusha vyuma taratbu
 
Hii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist!
Insider alisema huyu masai ni mtu ambaye ni potential sana kwake, maana amekuwa akimuunganisha na pisi za uhakika pale ambapo anakuwa na wageni na wanataka malaya, hivyo masai amekuwa ni chanzo cha insider kutengeneza hela kutoka kwa wageni kwa muunganisha na malaya, sasa hapo kuna ubaya gani akimpa hela, maana kupitia yeye anatengeneza zaidi ya alichotoa, jaribuni kusoma na kuelewa,
 
Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Watu mko na makasiriko sana, ugumu wa maisha ulio nao wewe siyo kila mtu anaupitia kumbuka kuna watu wako na bahati zao na wamejaliwa kukutana na watu sahihi kwenye mihangaiko yao ya kila siku, kikubwa ni nidhamu na uaminifu kwenye haya maisha na kuweka tamaa mbali kama unataka kufanikiwa
 
IMG_3129.jpg
 
Either kuna watu wanastress and they don't want to believe what they hear or see. Kula brunch Serena , Rotana au Hyatt unajua ni kiasi gani? Kuna watu wana reservation ya mwaka (kila jumapili) na bill siyo chini ya 500,000. Tafuteni hela na wacha kulalamika na kusema hii ni Chai
 
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
 
Haha sijamind umenielewa vibaya
Nimesema kweli watoto ni gharama.

True
Gharama ila mnazaa na Malaya wanawafanya vitenga uchumi tuna watoto na tunalea.

Tunachoangalia na kuzingatia ni mahitaji ya lazima mfano maziwa lactogen,nguo,unga wa uji kama ameanza kula pampas .

Sasa mnavyotuambia wanamaliza hela hela gani mnaongea nyie.

Acheni Hizo au mnadhani ndo nyie mnaolea peke yenu
 
Insider alisema huyu masai ni mtu ambaye ni potential sana kwake, maana amekuwa akimuunganisha na pisi za uhakika pale ambapo anakuwa na wageni na wanataka malaya, hivyo masai amekuwa ni chanzo cha insider kutengeneza hela kutoka kwa wageni kwa muunganisha na malaya, sasa hapo kuna ubaya gani akimpa hela, maana kupitia yeye anatengeneza zaidi ya alichotoa, jaribuni kusoma na kuelewa,
Whatever ndo umpe laki 2 yeye mwenyewe maisha anaunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom