Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hio ya kusubiria hizo episode 8 zizobaki tutulie jamaa yuko bize kujiandaa na kwenda kujiendeleza kimasomo! Tuwe wapole kwa muda!
Huyo jamaa ashajiona keki sahv, anafanya makusudi. toka aseme episode zote zipo tayari ameshaweka episode 2, bado anajiadai yupo busy lakin anasoma kila comment...

Watu wamemiminika inbox kwake ndo maana anaona avute vute muda ili asije akapoteza umaarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khakhakhaaaaaaaa!
Tuwe wapole tu no way!

Sema Asitufanyie hivoo aseeee! Yasije tokea ya stivu alianza kutoa excuses kibao watu hatukujali chochote tukatia kapuni kwani ilikua too much😁!!
Hata kama aliamua kusimulia mwenyewe kwa bando lake na hatukumlipa chochote ila alivozingua🚮🚮🚮🚮🚮😏!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This is jf bana!
 
Why some of your readers are insisting this a fiction? It is because, had it been a true story, by this minute, Mama Jr, Priska, Mary and Irene either all or one of them would have sniffed it by now; either through reading it here or being told by a third person. I guess so because you have deeply exposed yourself
Dude what are you talking about?
Some people are toxic, this happens almost in every story here. Whether ifs true or not it doesn't matter. How I wish my life was like a fairytale. Coming back to earth not very interesting 🤔

If I tell my story I would want it to speak volumes. I once made a dog carry grass on the back..people on the way who saw that said "Gily Gru dog work for the food, no freeloding" Soon everyone gossip "mbwa hali chakula ya bure"

I hope he does finish the story. Huh
Screenshot_20230531_003032_Google.jpg
 
Simulizi ni nzuri Sana na inavutia kwakweli kuisoma na kuifuatilia..lkn jambo Moja tu linanishangaza ni matumizi ya pesa ya INSIDER MAN yalivyomakubwa mpaka najiuliza, icho kilikuwa ni kipindi Cha Jk au Mjomba Magu..maana 50,000 unamtowa mlinzi wa geti tu...mmmmh...
Kweli pesa matumizi...
afu usafiri wako na mkeo ni ndege tu, wakati umetoka familia ya kawaida Sana, uwo ujasiri unaupata wapi kwa hizi aina za familia zetu ..
Kazi ya uhakika ni Uber....No Bado sijapata connection...endelea kutupa story bro labda uko mbele ntakusoma.
Lkn hongera Sana kwa kuteka minds zetu kupitia story Yako.
 
Umesahau alimpa Masai wa wavuvi laki 2 mammae kwa maisha gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom