Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Punguza stress mkuu hujalazimishwa kusomaa
Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
 
Sasa kijana unapanick kwenye uzi wa mtu utafikili umelazimishwa kusoma ata nikiamua mm kufuta kitu kwenye post yangu huna haki ya kuongea kitu chochote ko bro kaa kimya au pita kushoto mi naamini una apps nyingi kwa sim yako, au pia jf ni kubwa sana so unaeza endelea na threads nyingine. Sio kukaa unaponda kila siku make mwisho wa siku mnaonekana kama hamna cha kufanya. We jitafakari umeanza lini kusoma na mpaka leo upo unafatilia ili uone kama amepost😂😂😂 Sema haters mnatia huruma kinyama😂😂
 
Ila kuna watu wanakuwa serious kwenye mambo ambayo hayahitaji hata userious muda mwingne hata kama mtu anadanganya au anasema ukweli hasa kwenye hizi stori wewe chukulia tu kuwa ni stori na unasoma ili:
kuburudika,
Kujifunza,n.k
Kwani Ktk maisha ukiwa serious na kila japo kama wewe ni ME utapungukiwa nguvu za kiume bure mwisho wa siku ni presha + kisukari
 
Kipindi kile nasoma nilikua nasali Azania front wakati wa mnada mkungu wa ndizi ulinunuliwa Kwa tsh 150000/= trey la mayai 30000/= nikasema hii. Kuna siku nilienda CC UPANGA. Nakumbuka Kuna mzungu alifika pale na land Rover kali bala niskia mchungaji anamwambia mkurugenzi wa songas sogea
Mbele. Nilipo kuuliza Kwa jamaa mmoja aliniambia jamaa anakunja 100mil Kwa mwezi nikasema dar watu wanahela. Usibishe kitu kama hajawai kukiona
 
SASA KAMA ANAKUOANGA MBONA UMEKAZA MAKALIO KUISOMA MUDA WOTE SI UNGEISHIA EPISODE YA 30 UKAAMSHA. KUTWA KUCHWA UMEKAZA MAKALIO KUIFUATILIA. KAMA CHAI UKIIONA IKAUSHIE USIIFUNGUE SIO HADI UCOMMENT HAPA UMELAZIMISHWA? PUMBAVU KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kutoa comment napo ni kupangiana.
Hii nchi kuna watu wanajiona wao ndio yao peke yao
 
Sawa muamdishiii wenzio hatuna tunachopoteza kuregister account ni bureeeeee

Natukija tunaandika tu….hii ni CHAIIIIIIIIIIIIIII TENA YA RANGI na hutufanyi kitu

Chaiiiiiii hakuna true story hapa unazan maisha ni rahis hivyoo nyooooo embu toka hapa na meno yako yakuungua kama umelogwaaaa (in dotto magari voice)
Mkuu ndo unalitambua leo hili??

Wacha tuburudike tu

Ona kama hapo, alivyotupiga chenga ya Max Nzengeli
IMG_20231001_213517.jpg
 
Storry nilikua naifuatilia kwa karibu sana,lakini matukio 2 ya kupigiwa simu saa 8 usiku na mama 2 na Eva kuingilia maongezi imenitoa kabisa kwenye mstari...yawezekana ni stori ya kweli lkn haya maeneo 2 yana walakini mkubwa,...kiuhalisia,mgonjwa kama kafikishwa hospital hakukua na ulazima wa ndugu Insider kwenda hospital usiku ule kwa sababu huwez badirisha chochote kwenye Afya ya mgonjwa,...pili Eva kua na huo uhuru wa kujiachia maneno,wapo wanawake wa hivyo lkn ni wachache,mwanamke anajitambua hawezi ingilia kirahisi hivyo tena amekukuta na mwanamke,hapo angeweza jificha ili ampelekee best yake umbeya...lkn tunashukuru kutuburudisha.
 
Katika hao wachache tunahitimisha vipi kama Eva hawezi kuwa miongoni mwao?
 
Leo labda ndio anatimiza yale wengi wenu mnataka kuyajua au? Sio kwa ukimya huu.. Nimekuja nitafute ya kusoma nilale.. kapa kapa.. threads tangu mchana hazijaongezeka kwa ID yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom