Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Episode 39
Baada ya kupokea cm ya kutoka njee ya nchi na kugundua ni Irene nilishituka Sana

Endelea

Irene alinisimulia jinsi alivyo ondoka kwa kubebwa na Interpol kwa tuhuma za kujihusisha na ujasusi hivo mpaka mda huo yupo chini ya ulinzi ila alikuwa akiomba niangalie biashara zake akirudi atanipa taaamuuu
Tukutane jumamos kwa mwendelezo
 
Acha kulilia story hapa tulia jamaa ataleta kwa wakt unao fah
Dr wa ID acha maneno na wewe umesikilizwa kwani umewakilisha wote kwa kutumia!!!

Kama haupendi kusoma Uzi wote ukakakutana na posts zake INSIDER MAN uliza urahisi tunaotumia wengine kusoma posts zake kwanza bila wasi na tukiamua kusoma wengine tunawasoma humu kama kawaida..

Waanzisha nyuzi wanaweza kurusha muda wowote na kila mtu akawasoma wao kwanza kama mtu hataki kusoma nyuzi posti kwa posti.

Anayetaka kujua aulize, ajibiwe.

Jumapili njema
 
Episode 39
Baada ya kupokea cm ya kutoka njee ya nchi na kugundua ni Irene nilishituka Sana

Endelea

Irene alinisimulia jinsi alivyo ondoka kwa kubebwa na Interpol kwa tuhuma za kujihusisha na ujasusi hivo mpaka mda huo yupo chini ya ulinzi ila alikuwa akiomba niangalie biashara zake akirudi atanipa taaamuuu
Tukutane jumamos kwa mwendelezo
Muache mambo zenu hizo za kudandía mambo ya watu
 
Dr wa ID acha maneno na wewe umesikilizwa kwani umewakilisha wote kwa kutumia!!!

Kama haupendi kusoma Uzi wote ukakakutana na posts zake INSIDER MAN uliza urahisi tunaotumia wengine kusoma posts zake kwanza bila wasi na tukiamua kusoma wengine tunawasoma humu kama kawaida..

Waanzisha nyuzi wanaweza kurusha muda wowote na kila mtu akawasoma wao kwanza kama mtu hataki kusoma nyuzi posti kwa posti.

Anayetaka kujua aulize, ajibiwe.

Jumapili njema

Nafanyaje nikitaka kusoma posts za INSIDER MAN pekee?
 
IMG_2550.jpg

Leo tumefikisha views 1M.

Story yetu imefikia 3/4 tayari muda wowote inakwisha.

  • Mpaka tulikofikia nimekuwa Baba kijacho ni kweli au Prisca alikuwa anatafuta attention?
  • Mama Janeth na Iryn bado wananipa ukakasi
  • Iryn alikuwa wapi? na kwanini aondoke bila taarifa??

  • Lucy anataka nimle Iryn
  • Maggy amepata kazi Dodoma.
  • Vipi kuhusu Muajemi bado ataendelea kufukuzia mchongo??

Leo tutaendelea kama kawaida.

JUMAPILI NJEMA KUSALI MUHIMU.
 
Uko sahihi mkuu jf si maisha yetu halisi hta wewe na ufahamu wako hebu. vuta tu picha jinsi Iryn alivyosifiwa humu ndani kiasi mpka story hii inaenda ukingoni lkn hatujaona kasoro ya Iryn kiasi kila mahali wanapoingia watu wanaacha shughuli zao waume kwa wake ili tu wapate muda wa kumuangalia Star wetu wa hii movie ila hta wewe uko vzuri ni mrembo ila mnazidiana
Umeanza vizuri unamaliza kindezi,that aint masculinity! Acha nikuache na uboya wako!
 
View attachment 2730156
Leo tumefikisha views 1M.

Story yetu imefikia 3/4 tayari muda wowote inakwisha.

  • Mpaka tulikofikia nimekuwa Baba kijacho ni kweli au Prisca alikuwa anatafuta attention?
  • Mama Janeth na Iryn bado wananipa ukakasi
  • Iryn alikuwa wapi? na kwanini aondoke bila taarifa??

  • Lucy anataka nimle Iryn
  • Maggy amepata kazi Dodoma.
  • Vipi kuhusu Muajemi bado ataendelea kufukuzia mchongo??

Leo tutaendelea kama kawaida.

JUMAPILI NJEMA KUSALI MUHIMU.
Karibu msalimie mchepuko wa mzee pama
 
1,000,000 viewer x 500/= Kila member = 500,000,000/=

Unaonaje hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom