Jini la petrol

Mmh Jerry....!
 
Bora umekubali ni wivu. Ulitaka linywe mchemsho ama mtori?
 
ukiwasha tu nusu lit inaondoka nakumbuka zitto kabwe alipewa kama hilo na kaka yake likamshinda akauza
 
Ni kweli hilo gari linakula sana mafuta lakini hilo gari ni la Uhakika.
Na mtu ukiwa na hela za kutosha inabidi utumie magari kama hayo.
 
Ni kweli hilo gari linakula sana mafuta lakini hilo gari ni la Uhakika.
Na mtu ukiwa na hela za kutosha inabidi utumie magari kama hayo.
Unaipa kitu roho inapenda au sio...!!
 
Umejibu vyema sana, nilikuwa najiuliza sababu ya hawa jamaa kipendelea gari hizi;

Umejibu vyema sana, nilikuwa najiuliza sababu ya hawa jamaa kipendelea gari hizi;
Pia wamerekani wana culture mbaya ya ubabe ambayo ina reflect mpaka technology yao, ukionekana na gari cc ndogo body size ndogo upo category ya weak
Hii kitu waliitoa after world war 2 1945,
Kila design ili reflect war machine za wakati huu,

Tuache unafki kuna wamarekani magiant hasa sasa aendeshe passo kweli?
 
Sasa kwa wenzetu huko budget ya mafuta ya gari ya cc 3000 unaweza ukakuta inalingana na ya mtu mwenye passo huku kwetu sasa kwa nn anunue passo wakati petrol ananunua let say sh 400 za kitanzania
 
H3 siyo mbaya sana kwenye mafuta. Balaa ilikuwa ile yenyewe original. Walisitisha kuzitengeneza lakini sasa bei ya mafuta imeshuka nasikia wanaanza tena lakini kwa order tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…