Jing'ombe

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Kuku Baada ya Sikukuu kupa akiwa kapiga pensi lake Fresh wakati anatembea mtaani kwake kutafuta Panzi na wadudu wengineo kwa mlo wake wa siku akastuka kumuona Rafiki yake Ng'ombe bado yu hai tena bado Mnono

Akamuuliza Ngombe vipi Bwana Ng'ombe Zimepita Sikukuu Tatu Hujachinjwa!

Ng'ombe akamjibu Nikupe Siri Rafiki yangu Kuku Cheti Cha Kuzaliwa Nimefoji Nimeandika Mimi Punda....
 
WaTZ wanafoji kila kitu mpaka sasa imehamia kwa wanyama sio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom