Jinamizi / Nightmare

Uduvi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
739
500
Bujibuji asante sana kwa elimu mm ni muhanga wa majinamizi kwa kweli yanatesa kinomanoma yaani.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,946
2,000
Mi nilishaacha kulala chali. Sababu ya jinamizi. Sababu nyingine ni kupatwa na tabu ya kupumua ukilala chali sababu gravity inakandamiza kifuani. Ukilala chali inatakiwa kuinua na mto kuanzia mgongoni hadi kichwani.
 

Lord Sauron

JF-Expert Member
May 4, 2017
224
250
Pia usile mlo mzito kabla ya kulala.
Na kama ni mnywaji wa pombe au mraibu wa madawa ya kulevya unayejaribu kuacha majinamizi ni sehemu ya withdrawal symptoms.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,191
2,000
Joseverest unaliona Fala hili, badala ya kula mzigo, eti limekaa juu yake.

John_Henry_Fuseli_-_The_Nightmare.JPG
Halafu nyuma kuna moja linapiga chabo

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 

Kasongo

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
3,048
2,000
Mimi kila nikilala chali hata nusu saa tu lazima io hali inikute, natamani kue n mtu anitingishe, in short imefanya niache kulala chali maana unaweza kudhani popobawa kaja kupiga story

Aliko Dangote
Kulala Chali nadhani ni watu wengi inawatokea.Rafiki yangu aliniambia eti ukilala Chali damu inatoka kwenye ubongo na kurudi nyuma ndipo unahisi kukabwa.Umenichekesha na kutingishwa una tatizo kama langu na mm huwa naomba mtu aje anitingishe!Kama ni mchana unasikia watu wanaongea unawaita waje kukutingisha hawasikii!

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 

Injili ya Gheto

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
2,084
2,000
Kulala Chali nadhani ni watu wengi inawatokea.Rafiki yangu aliniambia eti ukilala Chali damu inatoka kwenye ubongo na kurudi nyuma ndipo unahisi kukabwa.Umenichekesha na kutingishwa una tatizo kama langu na mm huwa naomba mtu aje anitingishe!Kama ni mchana unasikia watu wanaongea unawaita waje kukutingisha hawasikii!

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Mara ya kwanza mkuu kupatwa na hio hali nilihisi nataka kuaga dunia, niligopa sana nilivorudi kwenye hali ya kawaida, yalipigwa maombi ya kufa mtu

Aliko Dangote
 

G 6

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
506
250
Inaitwa sleep paralysis unaparalyze sekunde kadhaa baada ya kuamka... inasemekana hutokea kwa sababu mtu anakuwa ameamka akili na macho tu misuli inakuwa bado katika hali ya kulala hapo mtu huhisi kama amekufa huku anajiona
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom