Jina Wanaume wa Dar ni dhambi ya ubaguzi.

Migomba

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
945
1,334
Nakumbuka wakati mwl Nyerere akihutubia juu ya Muungano alisema kinowachafanya watu kusema wao watanganyika sisi wazanzibari ni ubaguzi tu kuwabagua watanganyika lakini nje ya muungano hakuna wazanzibari kuna wapemba na waunguja. Vivyo hivyo tanganyika kuna wagogo wasukuma wanyamwezi wahaya nk. Nimetoa mfano huo kuakisi dhambi ya ubaguzi iliyoanza kwa wanaume wa Dar. Mikoa yoote iliyobaki wanajifanya wamoja na kujiita wabara na wanajifanya kwamba wao ndio mashababi na wakakamavu, halafu sisi wa Dar ni nyoronyoro, vibamia, maharage ya mbeya Maji mara moja. Lakini tumeona kwenye habari huko huko bara wanawake wanavukia Kenya kufuata mgegedo, tumeona wanaume kupigwa na wake zao nk. Sasa niwaambie tu mnajidanganya kujiita sisi wabara hao wa daslam. Nje ya ubaguzi kuna wa iringa, mbeya, kigoma, tabora nk. Hakuna wabara wala wa Dar! Imefika hatua ukipost ishu kama hii utaulizwa wewe ni wa Dar! Mnauliza uliza makabila mnataka kutambika?
 
Huyu sio wa bara ila ni mwanaume wa Dar Es Salaam...angekuwa wa bara asingeanzia mbali na mifano ya Nyerere ambayo haichangamani na alichokusudia kukisema...hahahahahha
 
Umejitahidi ila hoja yako imekosa mashiko ina vimelea vya kuwa wewe ni muhanga wa kauli hizo
 
Hapana sio dhambi ni heshima na uanaume ni jinsia yako usichukie kuitwa mwanaume huenda anayekuita ni mwanamke tumia busara kutatua jambo linalokutatiza huenda huyo mtu anatumia tumia kauli hiyo ni dada utakataa ushababi wako
 
Back
Top Bottom