Jina lenye sifa mbaya Tanzania

Jina lenye sifa mbaya Tanzania

kichomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
507
Reaction score
54
Habari zenu wakuu madadaz na makakaz,
nimesikia uvumi nikiwa kwenye daladala nikaona bora nije kuuliza hapa jamvini,
kwa kuwa hapa ndio sehemu tunayopatia habari za nchi nzima,
nimeona bora nije kuuliza na ninajua ntapata majibu,

Inasemekana kwamba Arusha,Mwanza na Mbeya,
neno CCM limekuwa tusi kubwa sana lenye maana zaidi ya 10,
mlioko mikoa hiyo je ni kweli?
nasubiri majibu.
 
ukiwa mwaloni mwanza, ccm ni sawa na fisadi. Ukipita na kijani unasikia epa, kagoda, richmond halafu watu wanalia
 
Habari zenu wakuu madadaz na makakaz,
nimesikia uvumi nikiwa kwenye daladala nikaona bora nije kuuliza hapa jamvini,
kwa kuwa hapa ndio sehemu tunayopatia habari za nchi nzima,
nimeona bora nije kuuliza na ninajua ntapata majibu,

Inasemekana kwamba Arusha,Mwanza na Mbeya,
neno CCM limekuwa tusi kubwa sana lenye maana zaidi ya 10,
mlioko mikoa hiyo je ni kweli?
nasubiri majibu.

Atakua chadema tu huyu
 
ha ha haaa ccm wamenuna, cc huku mwanza bora uitwe vyovyote ila sio ccm, nape, kik...te, na majina yanayo fanana na hayo.
 
Nikiangalia Avatar yako tu ni kama unatamka CCM..........
 
habari zenu wakuu madadaz na makakaz,
nimesikia uvumi nikiwa kwenye daladala nikaona bora nije kuuliza hapa jamvini,
kwa kuwa hapa ndio sehemu tunayopatia habari za nchi nzima,
nimeona bora nije kuuliza na ninajua ntapata majibu,

inasemekana kwamba arusha,mwanza na mbeya,
neno ccm limekuwa tusi kubwa sana lenye maana zaidi ya 10,
mlioko mikoa hiyo je ni kweli?
Nasubiri majibu.
kidumu chama cha mapinduzi
 
Ukitaka kujua kirefu chake ni 'Chama Cha Mafisadi' CCM
 
Chama cha majangiri,mafisadi,mataperi,misheni toun.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom