Jina lenye sifa mbaya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jina lenye sifa mbaya Tanzania

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kichomi, Apr 28, 2012.

 1. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu madadaz na makakaz,
  nimesikia uvumi nikiwa kwenye daladala nikaona bora nije kuuliza hapa jamvini,
  kwa kuwa hapa ndio sehemu tunayopatia habari za nchi nzima,
  nimeona bora nije kuuliza na ninajua ntapata majibu,

  Inasemekana kwamba Arusha,Mwanza na Mbeya,
  neno CCM limekuwa tusi kubwa sana lenye maana zaidi ya 10,
  mlioko mikoa hiyo je ni kweli?
  nasubiri majibu.
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Jina baya ni la Bf wangu.
   
 3. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Linaweza kulizidi la CCM?
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Atakua ccm tu huyoo
   
 5. R

  Ras wakambo Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  mby ukisema ccm unamaanisha
  1. ng'ombe mkubwa mlafi aliyefungwa na ndama then anawachoma kwa mapembe ndama hao wacle chakula walichowekewa
  2.mtu mwizi anyekamatwa na wananchi then anapelekwa polisi lakn askaria wanamuwekea dhamana na anshinda kesi..
  3. Kibaraka,mtu asiyeshaurika,mdhulumaji,mbinafsi,jambazi mengne nimesahau
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  ukiwa mwaloni mwanza, ccm ni sawa na fisadi. Ukipita na kijani unasikia epa, kagoda, richmond halafu watu wanalia
   
 7. m

  malaika2 Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakua chadema tu huyu
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu ameisema CCM vibaya au?
   
 9. kisiringyo

  kisiringyo Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ha ha haaa ccm wamenuna, cc huku mwanza bora uitwe vyovyote ila sio ccm, nape, kik...te, na majina yanayo fanana na hayo.
   
 10. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Cc kwetu kitu chochote kibaya kinaitwa ccm au gamba
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Nikiangalia Avatar yako tu ni kama unatamka CCM..........
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Malizia mkuu mbona umeishia njiani?
   
 13. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hili tusi kubwa jamani
   
 14. S

  Starn JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kidumu chama cha mapinduzi
   
 15. suri

  suri JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kujua kirefu chake ni 'Chama Cha Mafisadi' CCM
   
 16. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha majangiri,mafisadi,mataperi,misheni toun.
   
 17. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kigumu!
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Kilikuwa kigumu zamani,nowdays ni mdebwedo tu,roba 1 tu kinaaga dunia.
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  we utakua ni kati ya wale wanaoitwa malaika wabaya wale waliotupwa chini...hivi taabu yote hii ya CCM huioni? lol shame on you!!!!
   
Loading...