Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,913
Ila wewe dada, sijui kwanini bada ya kusoma haya yote, nimejikuta nacheka tu 🤣🤣!Sina dhambi. Nilitubu dhambi zangu siku nyingi zilizopita.
Jamani, Binti wa zamani umenisikitisha sana kuongea hivyo. Maneno yako yanadhihirisha vita vya kiroho vinavyoendelea ndani yako. Yesu hakufa kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya wenye dhambi kama wewe (Warumi 5:8). Zawadi anayokupa Mungu ni zawadi ya uzima wa milele, na inawezekana ukaipokea zawadi hiyo leo kabla hujachelewa.
Kusema kuwa una 'seat' kwa shetani ni kama kujisainia hukumu ya kifo mwenyewe. Mkatae shetani, hakufai — ni mwongo na muuaji. Badala yake, amua kukaa kwa Yesu. Yesu ndiye aliyetufia, akashinda kaburi, na anatupa tumaini la kweli.
Bado unayo nafasi ya kubadilisha uamuzi wako. Maadam hujafa, mlango wa rehema bado uko wazi.
Mada yako ya hivi majuzi umezungumzia "raha" uliyopata maishani. Raha uliyopata ni ya muda mfupi tu. Sasa kwanini unakataa raha ya milele aliyotuandalia Yesu? Kwanini uchague kukaa na shetani jehanamu kwenye mateso ya milele? Mkatae shetani, ni mwongo. Yeye mbingu anaijua. Alikuwa malaika huko mbinguni. Alipoingiwa na kiburi akafukuzwa huko; ndio sababu anatuonea wivu. Anatudanganya tumkatae Yesu ili tusiende mbinguni. Mkatae shetani kwa Jina la Yesu, sasa.
“Leo, ikiwa mtaisikia sauti yake[Yesu], msifanye migumu mioyo yenu.” — Waebrania 3:15
Asante Binti wa zamani kwa kujizuia kusema yasiyofaa. Mungu akubariki na akupe moyo wa toba.
Sasa kama umekubaliana na hayo niliyokuambia, omba sala ifuatayo, Mungu atakusamehe na kukuokoa; na Yesu akirudi utakuwa miongoni mwao watakaonyakuliwa kwenda mbinguni kwenye furaha na raha ya milele.
Fuatisha sala hii ya toba kwa moyo wako wa dhati, utaona mabadiliko ndani ya moyo wako sasa hivi, na kiu ya dhambi itakatika ghafla. Omba hivi:
"Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote. Nimeamua kuziacha kabisa. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na uongo wake wote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.
Mungu akutunze, akufunike kwa ulinzi wake, sasa na hata milele. Amen.
Nilisoma mada yako kwa juu juu tu, moyo wangu ukaanza kuhuzunika kwa ajili yako. Ndio sababu naku-tag mara kwa mara. Nimefurahi umecheka baada ya kusoma majibu yangu. Naamini utatubu na kuokoka, soon. Na mimi nitaendelea kukuombea. Mungu akubariki sana. AmenIla wewe dada, sijui kwanini bada ya kusoma haya yote, nimejikuta nacheka tu 🤣🤣!
Kumbe na wewe unasomaga mada za raha 😅
Basi, na Mungu wako unayemuamini akubariki uendelee kuifanya kazi yake kwa uaminifu 🙏🏽
Siku nyingine urudi ukasome vizuri.Nilisoma mada yako kwa juu juu tu, moyo wangu ukaanza kuhuzunika kwa ajili yako. Ndio sababu naku-tag mara kwa mara. Nimefurahi umecheka baada ya kusoma majibu yangu. Naamini utatubu na kuokoka, soon. Na mimi nitaendelea kukuombea. Mungu akubariki sana. Amen
SawaHayo Maandiko yanawahusu watu ambao bado hawajatubu dhambi kama Binti wa zamani na secretarybird
Mimi ungeninukulia Maandiko haya ningekuelewa:
1 Yohana 3:6, 9
"Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.
Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
Zab 16:3
"Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao."
1 Wakorintho 6:11
"...tumeoshwa, tukafanywa watakatifu, na kufanywa waadilifu na kupatanishwa na Mungu kwa Jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu."
Gotcha😅Kumbe na wewe unasomaga mada za raha
Wewe hapoMbamizwa kobaa
Hio Dua kufika kwake ni ngumu maana ilo jina la setfree mbiguni haliko na duniani liko Kwa jf tuhSalamu Maria mkingiwa dhambi ya asili muombee setfree, mama yetu waridi lenye fumbo
😅😅nimekumbuka kuna nabii mmoja alitupiga ety kanisani alikuwa anampigia Mungu simuHio Dua kufika kwake ni ngumu maana ilo jina la setfree mbiguni haliko na duniani liko Kwa jf tuh
Mama Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili muone zous utuombeeHio Dua kufika kwake ni ngumu maana ilo jina la setfree mbiguni haliko na duniani liko Kwa jf tuh
Kobaa mbamizwaWewe hapo
Ni kwenye video sisali hapoBado tu unasali hapo? Shtuka
Kwenye kula vichwa vya wale nyoka wa kijani.Wenye takwimu ya vichwa vya nyoka wa kijani vilivyoliwa leo,hawa pia wanaitwa green mamba,japo pia wapo black mamba nasumu zao na ukatili wao unafanana na ni waviwango vya juu kabisa.Anaombwa kutupia takwimu hapa jukwaani.Hayo Maandiko yanawahusu watu ambao bado hawajatubu dhambi kama Binti wa zamani na secretarybird
Mimi ungeninukulia Maandiko haya ningekuelewa:
1 Yohana 3:6, 9
"Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.
Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
Zab 16:3
"Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao."
1 Wakorintho 6:11
"...tumeoshwa, tukafanywa watakatifu, na kufanywa waadilifu na kupatanishwa na Mungu kwa Jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu."
Unafurahia kula vichwa vya wengine, siku cha kwako kikiliwa itakuwajeKwenye kula vichwa vya wale nyoka wa kijani.Wenye takwimu ya vichwa vya nyoka wa kijani vilivyoliwa leo,hawa pia wanaitwa green mamba,japo pia wapo black mamba nasumu zao na ukatili wao unafanana na ni waviwango vya juu kabisa.Anaombwa kutupia takwimu hapa jukwaani.
Poa kabisaUnafurahia kula vichwa vya wengine, siku cha kwako kikiliwa itakuwaje
We jamaa tumekubaliana nnKobaa mbamizwa
Tumekubaliana kuwa mbamizwa katumeni cc DIVISHENI FOO aje aungane na mbamizwa kobaaWe jamaa tumekubaliana nn
Ujinga huuTumekubaliana kuwa mbamizwa katumeni cc DIVISHENI FOO aje aungane na mbamizwa kobaa
Njoo tunywe konyagi plus kvant na mududuUjinga huu