Asante sana mkuuMimi si nimekupa tafsiri tu kiongozi
Duuuh,,,,,,,,,
MYSTIC NI NINI
Mkuu uko wapi siku hizi? naona kama umekuwa adimu!Naona mauzauza tu hapa
Mkuu hii Cursed divine sijui ndio nini?
nipo aseeh nilikuwa offline kwa mudaMkuu uko wapi siku hizi? naona kama umekuwa adimu!
Ni aina ya supernatural powers zinaambatana na imani katika miunguMYSTIC NI NINI
Ni mnato/mvuto angavu ama wa kirohoBoss Mshanajr naomba unitafsirie na mimi Divine Magnetism na Crescent Magnetism
Laana za kiimani katika rohoMkuu hii Cursed divine sijui ndio nini?
dah aisee.. samahani mkuu so nahitajika kujihusisha na mambo ya kiroho sana au mambo yangu ndo yanavutwa kiroho?
Sahihi kabisadah aisee.. samahani mkuu so nahitajika kujihusisha na mambo ya kiroho sana au mambo yangu ndo yanavutwa kiroho?
Kwa upande upi mkuu? kwa kauli ya kwanza au ya pili?