Jina lako la kichawi

Jina lako la kichawi

transcendent craft maana yake nn?
 
Niwatakie baraka tele na amani kwa wale watakaojaaliwa kwenda ibadani.... Ni jambo jema, tena la kheri.... Mkawaombee na wote wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia, ugongwa na taabu, wasafirio nchi kavu angani na bahatini..... Muwakumbuke yatima na wajane pia... Aamen

Kama ilivyo kwenye maisha yetu kila mmoja hakosi jina, liwe la kimila ama la kizungu au la kiarabu ni jina lako, liwe la kujipachika mwenyewe, la utani ama la bandia bado litabaki kuwa jina lako.....
Lakini vile vile kila mmoja wetu hapa ana siku yake! I mean siku ya kuzaliwa na kufa pia! Kila mmoja wetu ana bahati yake, nyota yake nknk... Huo ndio ukamilifu wa mwanadamu KUMILIKI.....
Tunamiliki vizuri na vibaya! Visivyoonekana na vinavyoonekana.... Tusivyovijua na tunavyovijua... Jina la kichawi ni mojawapo ya vitu unavyomiliki kiasili

Imekaaje hii? Utajuaje? Unalipataje jina lako la kichawi?
Chukua herufi ya kwanza ya jina lako na herufi ya kwanza ya ubini wako kisha linganisha na tafsiri yake kwenye jedwali la kizungu hapa chini.... Ni rahisi mnoView attachment 580503kama kuna shida kidogo ya lugha tafuta kamusi ama lete hapa utapata tafsiri yake sahihi kwa kiswahili fasaha (sio kikwenu) linganisha tafsiri hiyo na maisha yako... Unaweza kujikuta wewe ni mchawi mahiri bila kujijua
Zingatia wale tunaowaita wana midomo mibaya! Kwamba akikutamkia jambo baya lazima likutokee... Akikwambia UTAKUFA.... Utakufa kweli


Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mungu langu hapo halipo
 
Wote mnaotekwa na huyu, mna ujinga wa kiwango cha uprofessa!

Eti angalia jina la kichawi nawe unajikurupukia. Tena leo ni jumapili Mungu anawaona.
uongo wa wazungu wa kwenye biblia umekukamata mkuu...nyinyi ndo mnaoamini mungu ni mzungu
 
Light ni mwanga ama kitu chepesi arcane ni kitu kinachojulikana na wachache, Ursula ni kitu kitamu kuliko vyote na splindlerfinger ni sawa na kuweka kidole cha shahada chini kisha kuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka naomba maana ya jumla ya Ursula na Splindlefinger kama ni mwevyo jifaham kwenye Light Arcane

mafisadi hayana rangi
 
Back
Top Bottom